JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Kitaifa

Mapya yaibuka Mkuu wa Gereza

*Ni yule anayetuhumiwa kwa  mauaji ya mfungwa Liwale *Adaiwa kupelekewa kitanda cha  futi tano kwa sita alalie gerezani  *Askari magereza walalamika kulazimishwa  kumpigia saluti wakati ni mahabusu  Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale,…

Ukwepaji kodi uwindaji wa kitalii

*Malipo yafanywa kwenye benki za ughaibuni *Akaunti kadhaa zabainika kufunguliwa Mauritius *Tanzania yaambulia ‘kiduchu’, nyingi zaishia huko *TRA, Wizara Maliasili hawana taarifa za wizi huo DAR ES SALAAM NA MWANDISHI WETU Baadhi ya kampuni za uwindaji wa kitalii zinatuhumiwa kukwepa…

Kamishna lawamani kutaka kumega ardhi

MOROGORO Na Aziza Nangwa Taasisi ya Tretem Network of Schools Limited imemuomba Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula, kuingilia kati kitendo cha Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Morogoro, Frank Minzikuntwe, kutaka kumega eneo lao kisha…

Loliondo yametimia

NGORONGORO Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema mvutano uliopo Pori Tengefu la Loliondo mkoani Arusha kati ya serikali na baadhi ya wananchi wanaoungwa mkono na asasi zisizo za kiraia, una vimelea vya uchochezi kutoka kwa raia wa kigeni….

Mkuu wa Gereza kortini kwa mauaji 

*Afikishwa pamoja na askari magereza wawili *Akiwa mahabusu anatumia simu kutoa maelekezo ya kikazi  Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam Mkuu wa Gereza la Wilaya ya Liwale, Gilbert Sindani na askari magereza wawili; Sajenti Yusuph Selemani na Koplo Fadhili Mafowadi…

Kuhusu kesi ya kina Mdee kutupwa

Na Bashir Yakub Maombi au kesi inaweza kutupwa na mahakama kwa namna moja kati ya mbili. Inaweza kutupwa katika namna ambayo huwezi kuirudisha tena/kuifungua upya, au inaweza kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha tena/kuifungua upya. Kutupwa katika namna ambayo unaweza kuirudisha…