Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP.Camillus Mongoso Wambura, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo 13-9-2022 kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea saluti kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP.Camillus Mongoso Wambura, wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 13-9-2022 na (kulia kwake) Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar. CP.Hamad Khamis Hamad, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Iku