Washiriki wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja lililofanyika 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Sekta ya Maji lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Waziri wa Maji, Nishati na Madini Mhe.Shaibu Hassan Kaduara pamoja na Viongozi wengine wakati alipowasili katika Hoteli ya Golden Tulip Kiembesamaki nje ya Jiji la Zanzibar leo kufungua Kongamano la Kimataifa la Maji lililotayarishwa Wizara kwa kushirikiana na Global Water Partnership Tanzania (GWP TZ) na  taasisi mbali mbali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma kipeperushi wakati akitembelea banda la maonesho la Kampuni ya L&T Construction Water Effluent kutoka India,yaliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Wadau wa Sekta ya Maji lililofanyika katika ukumbi wa hoteli hiyo

By Jamhuri