Category: Kitaifa
Utata ununuzi magari TALGWU
*Fedha za gari la Katibu Mkuu zilitosha kununua jipya lakini likanunuliwa la mtumba *Lakutwa lina kadi mbili zikionyesha limetengenezwa mwaka 2015 na kusajiliwa mwaka 2014 *Katibu Mkuu asema hakumbuki mchakato wa ununuzi ulivyofanyika *Asema wananunua magari ya mtumba kwa sababu…
Nape: Sheria ya habari inabadilishwa mwaka huu
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema katika mwaka huu wa fedha serikali itahakikisha inakamilisha mchakato wa mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari (MSA) ya Mwaka 2016. Akihitimisha michango ya wabunge…
Samia atafuna mfupa wa mishahara mipya
Samia atafuna mfupa wa mishahara mipya DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Hatimaye Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imeongeza mishahara ikiwamo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari…
Mchechu adai fidia Sh bilioni 3
Dar es Salaam Na Mwandishi Wetu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu, amefungua kesi katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam akidai Gazeti la Citizen limlipe fidia ya Sh bilioni 3. Analilalamikia gazeti hilo…
Fisi mla watu akamata mtoto wa 28
KARATU Na Bryceson Mathias Mtoto mwenye umri wa miaka minne, Asteria Petro, amejeruhiwa na fisi katika Kata ya Basodawish, Karatu mkoani Manyara, akiwa ni wa 28 kukumbwa na kadhia hiyo, hivyo kuzua hofu miongoni mwa wananchi. Taarifa zinasema kwamba fisi…
Fedha za TALGWU zapigwa
*Ni Sh bilioni 1.1 za zabuni ya kutengeneza sare za Mei Mosi *Mzabuni adai amehujumiwa kwani mchakato wa zabuni uligubikwa na rushwa *Talgwu yasema itafuata taratibu za kisheria kufidiwa gharama *Wanachama wang’aka sare zao kutengenezwa chini ya kiwango DAR ES…





