JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Nyundo ya Wiki

Heri ya Mwaka Mpya na Muhogo

Mpendwa msomaji nakutakia heri ya mwaka mpya 2018. Mungu alipo hakuna cha kuharibika. Nikiri kuwa katika kuumwa nimepata fursa ya kufahamu Watanzania wanavyofuatilia kazi ya mikono yangu na hasa hili suala la muhogo. Nimegundua kuwa Watanzania wengi wana nia ya…

PROF ABDALLAH SAFFARI: Haja ya Kuwa na Mahakama ya Juu Tanzania

Tarehe 9 Desemba mpiga solo mahiri Tanzania kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Nguza Viking, kwa lakabu ya muziki, Big Sound alitoka Gereza la Ukonga, Dar es Salaam ambako alikuwa akitumikia kifungo cha maisha. Aliachiwa baada ya kunufaika na…

Waziri Lukuvi Nisaidie

Mimi ni Mtanzania ambaye kwa sasa nipo nchini Marekani nikijiendeleza  na kufanya shughuli mbalimbali kwa ajili ya kujikimu kimaisha. Mwaka 2008 nilikuja nyumbani (Tanzania) na kuelekea mkoani Mbeya kutafuta kiwanja cha makazi. Nilifanikiwa kupata kiwanja na kukabidhiwa hati miliki namba…

CUF wabemenda demokrasia

Na Thobias Mwanakatwe   MGOGORO wa kiasiasa unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) umedhihiriha jinsi viongozi wanavyofinyanga sharia na demokrasia ya vyama vingi ilivyo na mwendo mrefu kabla ya kufikiwa. Chama hicho ambacho ni cha tatu kwa ukubwa nchini,…

Mtetezi wa uhifadhi afungwa Loliondo

Mtetezi wa uhifadhi katika Pori Tengefu la Loliondo, Gabriel ole Killel, amefungwa gerezani kwa kile kinachodaiwa kuwa ni chuki kutoka kwa viongozi wa mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) ambao amekuwa akiwapinga. Killel ambaye ni Mkurugenzi wa NGO ya KIDUPO, amefungwa…

Lukuvi aweka historia

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amevunja historia katika kutatua migogoro ya ardhi nchini na zamu hii ametumia zaidi ya saa 20 kusikiliza kero za wananchi akiwa ofisini Dar es Salaam. JAMHURI limemshuhudia Lukuvi siku ya…