Category: Michezo
Yanga VS Singida United, Kesho Mtoto Hatumwi Dukani Kombe la FA
Kikosi cha Yanga kesho kitashuka dimbani Uwanja wa Namfua kwa ajili ya kucheza dhidi ya Singida United kutafuta nafasi ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la FA. Yanga ambayo ilikuwa imeweka kambi ya muda mfupi mjini Morogoro, tayari ipo…
Tanzania Yaombwa Kuwa Mwenyeji Kombe la Kagame
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limepokea barua kutoka CECAFA ikiomba Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano ya Kombe la Kagame kwa ngazi ya klabu. TFF imepokea barua hiyo leo ikiitaka Tanzania iwe mwenyeji wa michuano hiyo ambayo mara nyingi hufanyika jijini…
Braziri Yalipa Kisasi, Yaitandika Ujerumani Bao 1-0
Ujerumani walishindwa kwa mara ya kwanza katika mechi 23 baada ya mshambuliaji wa Manchester City Gabriel Jesus kuwafungia Brazil bao moja na kuwapa ushindi wa 1-0 jijini Berlin. Hiyo ilikuwa mara ya kwanza kwa mataifa hayo mawili kukutana uwanjani tangu…
MAJALIWA AIPIGANIA NAMUNGO FC YA JIMBONI KWAKE IPANDE LIGI KUU
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa wilaya ya Ruangwa washirikiane kuhakikisha ndoto ya timu yao ya mpira wa miguu ya Namungo FC ya kucheza ligi kuu inatimia. Amesema timu hiyo limeupa mkoawa Lindi na wilaya hiyo heshima kubwa imepanda…
Chelsea yaifuata Manchester United Nusu fainali -FA CUP
Michuano ya FA Cup kuelekea hatua ya nusu fainali imepigwa hapo jana kwa michezo miwili ,Wigan Athletic waliondoshwa na Southampton katika michuano hiyo kwa kichapo cha bao 2-0 , huku Chelsea wakichomoza na ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Leceister…