JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

ZFA sasa tunaekelea FIFA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewatoa hofu wapenzi wa michezo nchini kwa kusema kuwa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kuwa mwanachama wa Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika hakuwezi kudhoofisha uhusiano mzuri uliopo kati ya TFF na ZFA. Akizungumza…

Yanga mguu sawa

Huku ikiendelea na harakati za kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans ‘Yanga’, yenye makao yake makuu mitaa ya Twiga na Jangwani, Jijini, inaendelea na mikakati ya kushinda mechi yake na Zesco,…

Usalama viwanjani changamoto

Suala la usalama ndani na nje ya viwanja vya soka limebaki kuwa tishio kwa wachezaji na watazamaji wa mchezo huo, hali inayoendelea kupunguza idadi ya watu wanaokwenda kutazama mechi, barani Afrika. Mara nyingi ajali katika viwanja zimekuwa zikisababishwa na uzembe…

Riadha yapata msisimko

Baada ya mchezo wa riadha kufanya vibaya kwa muda mrefu na kuanza kupoteza msisimko miongoni mwa Watanzania, sasa unaonekana kurudisha msisimko baada ya mafanikio kutoka kwa mwanariadha Felix Simbu. Ushindi wa Simbu katika mashindano ya mbio za Standard Chartered Mumbai…

Tanzania na ndoto za Olympic 2020

Wadau wa mchezo wa soka wameishauri Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Tanzania (TFF) juu ya kufanya maboresho yatakayo saidia timu ya taifa kupata nafasi ya kushiriki katika mashindano kadha ya kimataifa ikiwemo Olympic inayotarajia kufanyika nchini Japan mwaka 2020….

FIFA kufanya mapinduzi ya soka

Rais mpya wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, amekuja na mapendekezo mapya ya kutaka kufanya mabadiliko katika mchezo wa soka. Baada ya kuongeza timu zitakazoshiriki Kombe la Dunia mwaka 2026 na kufikia 48, Rais huyo amekuja na mapendekezo mapya…