Category: Michezo
Miaka minane ya kifo cha Michael Jackson
Juni 25, mwaka huu, itakuwa imetimia miaka minane tangu Michael Jackson ‘Wacko Jacko’ alipoiaga dunia. Alikuwa ni mwanamuziki mwenye vipaji vingi kutoka nchini Marekani. Alifahamika zaidi kwa jina la heshima la ‘Mfalme wa Pop’. Michael alitambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio…
Kocha wa kuogelea alete manufaa
Ujio wa kocha wa mchezo wa kuogelea, Sue Purchase, kutoka Shule ya Kimataifa ya Mtakatifu Felix ya Uingereza, unatarajiwa kurejesha ari ya mchezo huo ambao umeanza kupotea nchini katika miaka ya hivi karibuni. Kocha huyo raia wa Uingereza, amekuja nchini…
Kufungwa ofisi TFF kunaathiri timu
Siku chache baada ya Kampuni ya Udalali ya Yono Auction Mart, wakala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kuzifunga ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwa kushindwa kulipa kodi, wadau wamesema hali hiyo inaweza kuchangia kudhoofisha ushiriki…
Utamaduni ulindwe
Mamlaka husika zimetakiwa kuwa makini katika kuhakikisha zinatengeneza mazingira rafiki kwa wasanii wa nyimbo za asili, ambao wapo wachache kutokana na ukosefu wa soko katika burudani hiyo. Imebainika kuwa baadhi ya wasanii wanaofanya sanaa za utamaduni ikiwamo ngoma, nyimbo za…
ZFA sasa tunaekelea FIFA
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limewatoa hofu wapenzi wa michezo nchini kwa kusema kuwa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) kuwa mwanachama wa Shirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika hakuwezi kudhoofisha uhusiano mzuri uliopo kati ya TFF na ZFA. Akizungumza…
Yanga mguu sawa
Huku ikiendelea na harakati za kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans ‘Yanga’, yenye makao yake makuu mitaa ya Twiga na Jangwani, Jijini, inaendelea na mikakati ya kushinda mechi yake na Zesco,…