Category: Michezo
Ajali yateketeza kikosi
Wiki iliyopita familia ya soka duniani imepata pigo, baada ajali ya ndege iliyosababisha vifo vya watu 81, wakiwamo wachezaji wa klabu ya Chopecoense ya nchini Brazil na kuacha simanzi kubwa Ndege iliyokuwa imebeba timu ya soka ya Brazil ilianguka wakati…
Benteke aweka rekodi
Mshambuliaji wa Crystal Palace, Christian Benteke, ameweka historia mpya kwa kufunga bao sekunde ya 7, baada mchezo kuanza wakati Ubelgiji ikicheza dhidi ya Gibraltar, katika kuwania kushiriki fainali za Kombe la Dunia, Urusi 2018. Wakati Benkete aliweka rekodi hiyo baada…
Kusini mwa Afrika, watamba tuzo za Afrika
Miaka mingi iliyopita wapenzi wa soka walizoea kuona kila aina ya tuzo katika mchezo wa soka ikichukuliwa na wachezaji kutoka ukanda wa nchi za Afrika Magharibi, hali ambayo imeanza kubadilika katika siku za hivi karibuni. Hali hiyo imejidhihirisha katika kinyang’anyiro cha…
Wadau waombwa kusaidia mchezo wa kuogelea
Wadau na wapenzi wa mchezo wa kuogelea nchini, wameombwa kutoa michango yao ya hali na mali kuhakikisha mchezo huo unapiga hatau kwa manufaa ya Taifa pamoja na changamoto zilizopo ikiwamo uhaba wa vitendea kazi. Akizungumza na JAMHURI wakati wa kufunga…
Magufuli ajiita Sizonje
Umewahi kukaa na kutafakari mashairi ya wimbo wa Mrisho Mpoto uitwao Sizonje? Umewahi kuhisi anayeimbwa katika mashairi ya wimbo huo ni nani? JAMHURI imegundua kwamba Sizonje ni Rais John Magufuli, huku akikiri kwa kinywa chake, mbele ya wahariri pamoja na…
Profesa Jay awafunda wasanii
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya wametakiwa kutumia nguvu kubwa kuimba nyimbo zenye ujumbe wa kuhamasisha mambo mema katika jamii na kuacha kuimba mapenzi, kwani kufanya hivyo itawasaidia nyimbo zao kudumu kwa muda mrefu sokoni. JAMHURI imefanya mahojiano maalamu na…