JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Tuwalee Serengeti Boys

Kwa mara nyingine tena timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys, imeshindwa kupata nafasi ya kushiriki katika fainali za Mataifa ya Afrika zinazotarajiwa kufanyika mwakani nchini Madagascar. Hii ni historia nyingine mbaya kwa wadau wa soka Tanzania…

Viongozi wa michezo, leteni mabadiliko

Wadau wa michezo hapa nchini, wametakiwa kuacha tabia ya kutoa pongezi pale timu inapofanya vizuri, badala yake waje na mbinu pamoja na mikakati ya kuhakikisha Tanzania inarudisha makali yake katika michezo ndani na nje ya nchi. Akizungumza na JAMHURI wiki…

Michezo haihitaji siasa

Wadau wa mchezo wa riadha nchini wameombwa kuja na mbinu mbadala kama kweli wana nia ya dhati ya kufufua mchezo huo kutoka ngazi ya shule za msingi, sekondari hadi vyuo vikuu kuliko kuwaachia wanasiasa wasiokuwa na ufahamu wa michezo. Wakizungumza…

Nani atanusuru mchezo wa masumbwi?

Wadau wa mchezo wa masumbwi nchini, wametakiwa kuingilia kati na kutafuta njia sahihi za kuunusuru mchezo huo unaoelekea kupotea kutokana na malumbano yasiyokuwa na tija kati ya Baraza la Michezo Tanzania (BMT) na vyama vya michezo. Wakizungumza na JAMHURI kwa…

Samatta kuitangaza Tanzania ughaibuni

Serikali sasa imeamua kumtumia Mbwana Samatta katika kuuza utalii wa Tanzania duniani. Samatta anasakata soka katika klabu ya Genk, Ubelgiji.  Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Bodi ya Utalii, imetangaza nia ya kuanza kumtumia mchezaji huyo pekee anayecheza soka la…

Kuondoka Acacia aibu kwa wana Shinyanga

Kampuni ya uchimbaji madini – Acacia Gold Mine, imetoa notisi ya kutaka kujiondoa kuidhamini klabu ya Stand United ya mkoani Shinyanga, kutokana na mgogoro unaoendelea kufukuta klabuni hapo. Acacia Gold Mine, imetangaza kuvunja mkataba wa udhamini huo endapo klabu hiyo…