Category: Michezo
Azam wafunga mwaka kwa kishindo kwa kuitandika Mbeya City
Mabao ya Azam FC yamefungwa na Abdul Suleiman ‘Sopu’ mawili dakika ya 22 na 54, Mzimbabwe Prince Dube dakika ya 51, Mkenya Kenneth Muguna dakika ya 56, Iddi Suleiman ‘Nado’ dakika ya 71 na Cleophace Mkandala dakika ya 90 na…
Singida Stars yaichapa Geita Gold 2-1
Wenyeji, Singida Big Stars wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjini Singida. Mabao ya Singida Big Stars yote yamefungwa na nyota wake wa Kibrazil,…
Kifo cha Pele, Brazili yaanza siku tatu za maombolezo
Uwanja ambao nguli wa soka wa Brazil Pele alicheza baadhi ya mechi bora zaidi za maisha yake pia utaruhusu watu kutoa salamu zao za mwisho siku ya Jumatatu na Jumanne. Santos, klabu ambayo Pele alicheza huko Brazil, ilisema katika taarifa…
Yanga wasiwe watoto kwa Fei Toto
Yanga wakiendelea kumsujudia Fei Toto wataingia katika hatari ya kushusha morali ya timu. Siamini kama Fei Toto ndio engine ya Yanga, engine ya Yanga ni Nabi mwenyewe wala sio mchezaji yeyote awaye yote ndio maana kikosi cha Yanga Kila mchezaji…
Simba SC yaichapa KMC FC 3-1
Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mabao ya Simba SC yamefungwa na mshambuliaji na Nahodha John Bocco dakika ya 16,…