Category: Michezo
Yanga hao nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation
Yanga imetinga hatua ya nusu fainali ya Azam Sports Federation kwa ushindi dhidi ya Geita Gold. Dakika 90 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0 Geita Gold na ni kipindi cha pili wameokota nyavuni bao hilo. Ni Fiston Mayele dakika ya 57…
Simba yatinga nusu fainali kwa 5G
Timu ya Simba imetinga hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation kwa ushindi wa 5-1 Ihefu. Mchezo ambao umechezwa Uwanja wa Azam Complex huku ukishuhudia matumizi makubwa ya nguvu kwa wachezaji wa pande zote mbili. Mabao ya Simba yamepachikwa na…
Simba mikononi mwa mabingwa CAF
Wakiwa na hesabu za kuvaana na Ihefu kesho mchezo wa Khatua ya robo fainali Azam Sports Fedration wameshatambua kigongo watakachokutana nacho kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni Wydad Athletic Club hawa watamenyana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira…
Kamissoko mbadala wa Tuisila Yanga
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Kocha mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi aongeza jicho la uboreshaji katika kikosi cha timu hiyo kwa kuonesha kuvutiwa na mshambuliaji wa AS Real Bamako ya nchini Mali Ousmane Kamissoko. Kwa mujinu wa taarifa kutoka Yanga,…
Ihefu yazidi kujiimarisha kuelekea kombe shirikisho
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Wababe kutoka jijini Mbeya Ihefu FC ( Mbogo maji) wameeleza mipango yao kuelekea mchezo wa robo fainali ya kombe la shirikisho Tanzania ‘ASFC’ dhidi ya Simba SC mnamo April 7, 2023 jijini Da es Salaam. Akizungumza…
Azam waelekeza macho na akili ASFC
Na Tatu Saad,JAMHURI MEDIA Matajiri kutoka Chamazi ‘Azam FC’ wahamishia nguvu na utimamu wake kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Tanzania Bara ‘ASFC’ katika msimu huu wa 2022/23. Hii ni baada ya kupoteza matumaini ya kutwaa taji la Ligi Kuu…





