JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Yanga yaandika historia, yaibamiza Marumo Gallants 2-0

Klabu ya Yanga inefanikiwa kutinga Fainali Kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kufanikiwa kuondoka na ushindi wa mabao 2-1 (agg-4-1) dhidi ya timu ya Marumo Gallants ambapo mchezo wa mkondo wa kwanza Yanga akiwa nyumbani alipata ushindi wa mabao…

JKT Tanzania yapongezwa kurejea Ligi Kuu Tanzania Bara Msimu wa 2023/24

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Saidi Yakubu, ameipongeza Klabu ya JKT Tanzania kwa kurejea kucheza Ligu Kuu Soka Tanzania Bara msimu mwaka 2023/2024 baada ya kumaliza vinara katika ligi Championship msimu 2022/2023. Yakubu…

Waziri Mkuu azipongeza Simba na Yanga

Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameungana na Watanzania kuipongeza klabu ya Yanga kwa hatua ya nusu fainali waliyofikia katika mashindano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF). Waziri Mkuu Majaliwa amesema…

Azam FC yaiua kiume Simba nusu fainali

Azam FC imewaua kiume Simba 2-1 kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwada Sijaona. Ni Lusajo Mwaikenda dakika ya 22 alianza kupachika bao kwa Azam FC kisha usawa ukawekwa na…

Simba yaondolewa na Wydad Casablanca kwa mikwaju 4-3

Timu ya Simba imetolewa na Wydad Casablanca kwenye mchezo wa mkondo wa pili wa hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF CL) kwa mikwaju ya penati 4-3 . Katika mchezo huo ambao Simba alikuwa na faida…