Category: Michezo
Yanga yaonesha ubabe bila Fei Toto
Mabingwa watetezi, Yanga SC wameonyesha wanaweza kuendelea kufanya vizuri bila kiungo Feisal Salum Abdallah aliyesusa akishinikiza kuondoka baada ya ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Azam FC usiku huu Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Ilikuwa mechi tamu…
Simba waiondolea Yanga presha kuelekea mechi ya Azam
Siku ya Sikukuu ya Krismas klabu ya Yanga itakuwa wageni wa Azam pale Uwanja wa Mkapa katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa pili ambapo timu hizo zilitoka sare ya 2-2 katika mechi ya mzunguko wa kwanza. Mechi…
Coastal Union wanapogeuka kituko badala ya kuwa mfano
Klabu ya Coastal Union ya Tanga imekuwa na matokeo ya kushangaza wiki hii hali ambayo sio njema sana kwa kila mpenda maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini. Coastal Union walimtimua kocha wao Yusufu Chippo masaa 12 kabla ya mechi…
Maxime atoa siri ya kuwabana vigogo Kaitaba
Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Mexime, amesema kuwa sare ya 2-2 dhidi ya Azam na sare ya 1-1 dhidi ya Azam anahesabu kuwa kama ni ushindi kwake na amewapongeza wachezaji wake Kwa kucheza mechi mbili kubwa nyumbani na kupata…
Coastal Union kwafukuta,wamtimua kocha wao alfajiri
Klabu ya Coastal Union ya Tanga ambayo ipo Jijini Dar es Salaam wakijiandaa kukabiliana na Yanga SC majira ya 12:15 jioni imemtimua aliyekuwa kocha wake mkuu Yusufu Chippo. Taarifa ya klabu iliyotolewa asubuhi hii imedokeza kuwa klabu hiyo itakuwa chini…
Ni Argentina bingwa Kombe la Dunia 2022
Timu ya taifa ya Argentina imefanikiwa kutwaa ubingwa wake wa tatu wa Michuano ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa jumla ya mikwaju ya Penalti 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Ufaransa kwenye mchezo uliohitimishwa kwa dakika 120’…