Category: Michezo
KMC FC yaanza kujifua dhidi ya Ruvu Shooting
Kikosi cha Timu ya KMC FC kimerejea Jijini Dar es Salaam na mazoezi kwa ajili ya mchezo unaofuata dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa siku ya Ijuma OKtoba 07 katika uwanja wa Uhuru hapa Jijini Dar es Salaam. Timu hiyo ya…
Mtibwa Sugar na Mbeya City nguvu sawa
Wenyeji, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya 2-2 na Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manungu, Turiani mkoani Morogoro. Mabao ya Mtibwa Sugar yamefungwa na Nickson Kibabage dakika ya kwanza na Jean Papi Matore…
Simba yaichapa Dodoma Jiji 3-0
Klabu ya Simba imeendelea kutoa dozi kwenye Ligi Kuu Tanzania NBC baada ya leo kuichapa Dodoma Jiji Fc kwa mabao 3-0, mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Benjamini Mkapa. Simba Sc imecheza mchezo huo siku chache baada ya kutoka visiwani…
Tanzania yashiriki ufunguzi Kombe Dunia kwa watu wenye ulemavu
Matukio katika picha yakionesha Shamrashamra katika uwanja wa Ulker uliopo nchini Uturuki kwenye hafla ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya Kombe la Dunia kwa watu wenye ulemavu jana. Timu kutoka Tanzania Tembo Warriors ambayo ilifuzu kucheza mashindano hayo nayo imeshiriki…
Kuelekea Kombe la Dunia: Tembo Warriors wajifua kambini Uturuki
Timu ya Taifa ya Soka kwa Walemavu, Tembo Warriors imeendelea na maandalizi yao wakiwa kambi maalum nchini Uturuki waliyoandaliwa na Serikali kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kabla ya Oktoba Mosi kuanza mechi yao ya kwanza ya Kombe la…
NMB yatangaza wadhamini NMB Marathon 2022
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wiki moja kabla ya kufanyika kwa Mbio za Hisani za NMB Marathon ‘Mwendo wa Upendo,’ Benki ya NMB inayoandaa mbio hizo imetangaza wadhamini zaidi ya 20, ambao wameeleza siri ya uamuzi wa kukubali kudhamini kuwa ni kuguswa…