Sarri bado ‘yupo yupo’

Mashabiki na wapenzi wa Chelsea wanashindwa kumuelewa Kocha wa timu yao, Mtaliano Maurizio Sarri (Garimoshi), kutokana na timu hiyo kushindwa kufanya vizuri katika mechi zake za hivi karibuni. Chelsea imeanza kusuasua katika mzunguko huu wa pili wa ligi katika mechi dhidi ya Arsenal, Bournemouth na Manchester City, ambapo matokeo ya mechi hizo yamewazindua mashabiki na…

Read More

Yanga yaweka ubingwa rehani

Na Khalif Mwenyeheri Yanga imeshindwa kupata matokeo mazuri katika mechi zake za hivi karibuni na kuifanya timu hiyo kupunguza nafasi ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL), hali hiyo inawafanya Yanga kuwa na kazi kubwa ya kufukuzia ubingwa. Katika msimamo wa ligi, Yanga inaongoza ligi baada ya kujikusanyia alama 55, katika mechi 22, huku Azam…

Read More

Ambokile amefungua njia

Mchezaji wa zamani wa Mbeya City, Eliud Ambokile (pichani), wiki iliyopita alisafiri kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kujiunga na timu ya Black Leopards inayoshiriki ligi kuu ya nchini humo kwa mkopo wa miezi mitatu. Katika maisha ya soka Ambokile amepiga hatua kubwa, amefanikiwa kupata nafasi ya kucheza kwenye ligi bora licha ya kuwa…

Read More

Kichwa cha mwendawazimu?

Nini kifanyike kuhusu timu za hapa nchini? Pengine ndilo linaweza kuwa swali kwa wadau wa soka. Mashindano ya SportPesa yalimalizika juzi huku tukishuhudia klabu kutoka nchi jirani zikichuana kwenye fainali. Katika mashindano hayo ambayo Yanga ilitolewa mapema tu na Kariobangi Sharks ya Kenya, hali hiyo imedhihirisha kwamba klabu za Tanzania hazijajipanga vizuri. Mashindano hayo yalihusisha…

Read More

Wakati mgumu makocha EPL

Na Khalif Mwenyeheri   Ikiwa ni takriban mechi nne zimechezwa tangu kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Uingereza (EPL), hivyo kila timu ikiwa imecheza jumla ya mechi 22, huu ndio wakati ambao bodi za klabu zinazoshiriki ligi hiyo uvumilivu huwashinda. Presha inakwenda hadi kwa mashabiki ambao hawatamani kuona timu zao zikishuka daraja,…

Read More

Vee Money: Aachana na Sheria, afanya muziki 

Inawezekana ukawa haufahamu historia ya msanii, Vanessa Mdee (Vee Money). Kupitia makala hii una nafasi ya kutambua alikozaliwa, alivyoanza muziki na hata mafanikio yake aliyoyapata kupitia tasnia hiyo ya muziki wa Bongo Fleva. Vee Money alizaliwa Juni 7, 1988 jijini Arusha. Ni msanii wa muziki mwenye talanta nyingi zikiwemo za kuandika nyimbo, pia ujasiriamali. Amekuwa akifahamu…

Read More