JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Simba,Yanga wote wapo kileleni

BAO pekee la kiungo Jonas Mkude dakika ya 86 lililoipa Simba SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Simba SC imefikisha pointi 10 baada ya ushindi huo na kuungana kileleni na mabingwa watetezi,…

GSM yaingia mkataba na Yanga wasaini Bil.10.9/-

Klabu ya YangaSC leo Septemba 12, 2022 imesaini mikataba mipya miwili na wadhamini wao GSM, mkataba wa kwanza ni wa udhamini wa uzalishaji na usambazaji jezi na vifaa mbalimbali wenye thamani ya shilingi bilioni 9.1 kwa muda wa miaka mitano….

Yanga yaichapa 4-0 Zalan FC Ligi Mabingwa Afrika

Timu ya Yanga SC imeanza vyema katika kampeni za kuwania kutinga hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa baada ya kuwachapa mabao 4-0 wenyeji Zalan FC kutoka nchini Sudan Kusini mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa…

Simba yang’ara ugenini Ligi Mabingwa Afrika

Simba SC wameng’ara ugenini baada ya kuwachapa wenyeji Big Bullets bao 2-0 mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika inayopigwa kwenye uwanja wa Taifa Bingu, Malawi. Moses Phiri aliiandika bao la kwanza Simba mnamo dakika…

NMB Jogging mguu sawa ‘Mwendo wa Upendo’

Wakati mbio za NMB Marathon zikitarajiwa kutimua vumbi Septemba 24 mwaka huu, klabu ya NMB Jogging yenyewe jana Jumatatu ilianza kujifua mapema kwa ajili ya kujiweka tayari kushiriki mbio hizo. Jogging hiyo ilianza kujiandaa na mbio hizo kushirikiana klabu ya…