JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Bao la Fei Toto lafufua rekodi Yanga

Dar es Salaam Na Andrew Peter Bao la shuti la umbali wa mita 25 la kiungo Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’ limefufua ndoto ya Yanga ya kusaka rekodi kuwa timu ya kwanza kutwaa mataji mawili; Kombe la Shirikisho la Azam…

Mwanza patamu!

*Yanga safiii… ila Simba mmh! DAR ES SALAAM Na Andrew Peter “Mwanza oooh Mwanzaaa! Mwanza mji mzuri. Mwanzaaaa!” Maneno ya Dk. Ramadhan Remmy Ongala ‘Mbele kwa Mbele’. Hakuna anayebisha kuhusu uzuri wa Jiji la Mwanza maarufu kama ‘Rocky City’ kutokana…

Ni mshikemshike Liverpool, Real Madrid

PARIS, UFARANSA Liverpool inalitaka taji la saba la Ulaya pamoja na kulipa kisasi cha fainali ya Ligi ya Mabingwa 2018 dhidi ya Real Madrid inayosaka kombe lake la 14 la mashindano hayo makubwa zaidi kwa klabu barani humo. Liverpool watakuwa…

Ubingwa si kigezo kocha kubaki  Yanga, Simba, Azam FC 

Dar es Salaam Na Andrew Peter “Kocha mnabadili leo, baada ya miezi mitatu anakuja mwingine katikati ya msimu huo. Mnategemea mtafanikiwa vipi? Maana huyu timu bado hajaizoea, kaondoka, anakuja mwingine. Halafu mna mechi kubwa. Baadaye mkifungwa mnasema kumbe na huyu…

Ndoto ya ‘Simba Mo Arena’ imeyeyuka? 

DAR ES SALAAM Na Andrew Peter “Ukiona mtu mzimaaa mamaa! Analia, mbele za watu ujue kuna jambo.” Sehemu ya kiitikio cha wimbo wa Msondo uitwao ‘Kilio cha Mtu Mzima.’ Tangu alipochukua jukumu la uenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Mangungu,…

Simba inakaba hadi kivuli

Yanga dk 90 bila shuti golini Na Andrew Peter Dar es Salaam  Yanga imeweka rekodi mpya ikicheza dakika 90 bila kupiga shuti hata moja lililolenga goli wakati walipolazimishwa suluhu na watani wao Simba kwenye Uwanja wa Mkapa mwishoni mwa wiki….