Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha, Septemba 18, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa  mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kwenye uwanja wa  Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua  timu ya soka ya Shule ya Sikondari   Upili ya High Way   jijini Nairobi  Kenya wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  jijini Arusha, Septemba 18, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

By Jamhuri