Category: Michezo
‘Riadha itumike kuimarisha uhusiano’
SERENGETI Na Mwandishi Wetu Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amesema michezo ina nafasi kubwa ya kuimarisha uhusiano na ujirani mwema miongoni mwa wadau wa utalii nchini. Akizungumza baada ya kushiriki mbio maalumu za Serengeti Safari Marathon wiki…
Tuamke, muda unatukimbiza
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Nchi imo kwenye majonzi. Ni majonzi makubwa, hasa kwa mashabiki wa soka. Ni juzi tu tumetoka kufungwa mabao 0 – 3 na DRC. Kipigo hicho hakijaishia kutuumiza mioyo pekee, bali pia kimekatisha ndoto zetu…
Mbrazili ametuachia Manula imara
NA MWANDISHI WETU Wiki kama mbili au tatu hivi zilizopita, mabingwa wa soka nchini, Simba Sports Club, wamelivunja benchi zima la ufundi. Wameachana na kocha mkuu, kocha wa viungo na kocha wa makipa. Kwangu hii si stori mpya, wala hata…
Ronaldo ni msaada au mzigo Man U?
MANCHESTER, England Kabla ya wikiendi hii kufunga bao la kwanza miongoni mwa matatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Tottenham, mashabiki wa soka England walijiuliza maswali kadhaa kuhusu uwezo wa mwanasoka mkongwe na maarufu duniani, Cristiano Ronaldo. Akiwa na umri…
Uongozi wa soka nchini washitakiwa
Dar es Salaam NA ALEX KAZENGA Viongozi wenye jukumu la kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini wameshitakiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Wanashitakiwa kwa uzembe na kukosa uwajibikaji, hali inayotajwa kuwa kikwazo kwa ustawi wa soka. Aliyefikisha mashitaka hayo…
Soka la wanawake limenoga
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Timu ya taifa ya soka ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, imetwaa ubingwa wa Michuano ya Shirikisho la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika (COSAFA), baada ya kuichapa Malawi 1-0 kwenye mchezo wa fainali…