JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Simba, Yanga wapambana kanisani

DODOMA Na Mwandishi Wetu Dakika 90 za pambano la Ngao ya Jamii kati ya Simba na Yanga la Septemba 25, mwaka huu halikuishia Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama ilivyodhaniwa. Pambano hilo lilihitimishwa kwa aina yake siku iliyofuata,…

Dakika 90 za pambano la watani

NA MWANDISHI WETU  Moja ya mechi nzuri iliyojaa ufundi mwingi na utulivu mkubwa. Ama kwa hakika mashabiki wa soka nchini wameona ukuu wa timu hizi mbili katika soka la Tanzania. Asanteni Simba na mabingwa Yanga kwa burudani nzuri ya weekend…

Afya ya Pele yatetereka

RIO DE JANEIRO, BRAZIL Afya ya mwanasoka maarufu duniani, Pele, imedorora baada ya kufanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe tumboni,  kisha kulazwa ICU. Hata hivyo,Kely Nascimento, binti wa nguli huyo wa soka, amesema hali yake inaimarika. “Ni kama amepiga hatua mbele. Anaendelea…

Mtibwa Sugar itupiwe jicho makini

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Mtibwa Sugar wamelifunga dirisha la usajili kibabe sana. Wamesajili majembe ya maana. Msimu ujao siwaoni tena katika nafasi za mwisho kwenye msimamo wa ligi. Siku moja kijiweni kwetu Kinondoni niliwahi kumwambia mmoja wa wachezaji…

Stars na matumaini kibao

DAR ES SALAAM Na Mfaume Seha, TUDARco Timu ya taifa, Taifa Stars, imejiweka katika nafasi nzuri kuwania kufuzu kucheza michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini Qatar mwakani. Stars inaongoza Kundi ‘J’ lenye mataifa ya DRC, Benin na Madagascar, ikiwa…

Kina Banda Mbezi, Chama Marakech

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Rafiki yangu Abdi Banda amerudi nchini kujiunga na Mtibwa Sugar. Sijui nini kimemtoa Afrika Kusini na kumrudisha nyumbani. Ninahisi kuna tatizo mahala.  Muda ambao wachezaji wa mataifa mengine wanaikimbia ligi yetu kwenda ligi kubwa…