JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Michezo

Kwa Mkapa hatoki mtu

*Kaulimbiu ya Simba iliyowafikisha Robo Fainali DAR ES SALAAM Na Dk. Ahmad Sovu  Kaulimbiu ni misemo rahisi inayotumiwa zaidi na wanasiasa au asasi fulani kwa lengo la kujenga hamasa yenye madhumuni ya kufikia malengo fulani. Makala hii madhumuni yake makuu…

Mwisho wa Djodi na Azam FC hautishi sana

Nilisoma mahali Azam FC walivyoachana na fundi wao wa mpira raia wa Ivory Coast, Richard Djodi. Richard ni fundi kweli kweli, mpira ukiwa mguuni mwake hautamani autoe haraka. Lakini namba zimemhukumu. Azam FC wamemuonyesha mlango ulioandikwa Exit. Soka la kileo…

Yanga, GSM na corona

Mashabiki wa Yanga wanalia. Wengi wanazungumza mambo mengi hasa katika kile kinachoendelea ndani ya klabu hiyo kwa sasa. Kisa ni sakata la klabu na Kampuni ya GSM ambayo iliamua ‘kujitolea’ kuwasaidia. Katika kipindi hiki ambacho dunia imejaa hofu ya virusi…

Metacha Mnata na bahati ya mtende

Mpira wa miguu ni mchezo wenye mambo mengi sana. Ndiyo maana soka ina a.k.a nyingi kama Koffie Olomide. Yeye ni Grand Mopao, Papa Fololo, Gangi ya Film, Le Jeune Pato, Quadra Koraman, Songe ya Mbeli, Le Grand Mbakala, Papa Rocky,…

Simba, Yanga lazima zilie

Zitalia sana! Nikukumbushe kwanza. Kikao cha Kamati ya Uongozi cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kimeridhia baada ya siku 30 pale serikali itakaporuhusu michezo kuendelea, mechi za Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza, Ligi Daraja la Pili na Ligi…

Msuva kumfuata Samatta EPL

Mshambuliaji wa Difaa El Jadida ya Morocco, Simon Msuva, ametajwa katika orodha ya mastaa kutoka Afrika Mashariki ambao wanaweza kumfuata Mbwana Samatta katika Ligi Kuu ya Uingereza (EPL). Samatta aliweka historia mwanzoni mwa mwaka huu kuwa Mtanzania wa kwanza kucheza…