JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Maoni ya Mhariri

Penye nia pana njia

Wiki iliyopita serikali ilitoa taarifa kuhusu uamuzi wake wa kuanza  mchakato wa ununuzi wa vichwa 22 vya treni, mabehewa 1,430 ya mizigo na mabehewa 60 ya abiria, vitakavyotumika kwenye uendeshaji wa reli ya kisasa, maarufu kama SGR, ambayo ujenzi wake…

Sheria ya Takwimu funzo

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limekamilisha mkutano wake wa bajeti wiki iliyopita. Ukiondoa mjadala wa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019/2020, masuala mengine kadhaa yalijitokeza bungeni. Mojawapo ya mambo hayo ni serikali kuwasilisha mabadiliko ya sheria…

Ushauri huu uzingatiwe

Wiki iliyopita wadau mbalimbali nchini pamoja na wengine kutoka jumuiya ya kimataifa walishiriki mdahalo mahususi kuhusu masuala ya biashara nchini. Katika mdahalo huo mengi yalijitokeza yenye lengo la kuboresha ili hatimaye kupata tija zaidi kwa upande wa tasnia ya biashara…

Tunahitaji utulivu mjadala wa bajeti

Alhamisi wiki iliyopita serikali kupitia kwa Waziri wa Fedha iliwasilisha mapendekezo ya bajeti kuu kwa ajili ya mwaka wa fedha 2019/2020. Bajeti hiyo baada ya kuwasilishwa itajadiliwa na wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao kwa mujibu…

Kero hizi zitatuliwe

Ijumaa iliyopita Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Dk. John Magufuli, alikutana na wafanyabiashara kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Ni wafanyabiashara kutoka mikoa yote nchini. Katika mkutano huo uliofanyika Ikulu ya Magogoni, jijini Dar es Salaam kwa saa zaidi…

Pongezi kwa wananchi kutii mamlaka

Aprili 9, mwaka huu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alitangaza kwamba kuanzia Juni mosi mwaka huu itakuwa ni marufuku kutengeneza, kuingiza, kuuza na kutumia mifuko ya plastiki kwa ajili ya kubebea bidhaa za aina yoyote na matumizi yake yatakoma ifikapo Mei 31. …