JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Afya

Watoto 10 kufanyiwa upasuaji Zambia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Watoto 10 wenye matatizo ya moyo ya kuzaliwa nayo wanatarajia kufanyiwa upasuaji wa moyo katika kambi maalumu ya upasuaji inayofanyika katika Hospitali ya Taifa ya Moyo ya nchini Zambia. Kambi hiyo ya upasuaji ya siku…

Wagonjwa wanne waliopandikizwa figo Mloganzila waruhusiwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa mara nyingine kwa mafaniko makubwa kwa kushirikiana na Korea International Foundational for Health Care na Africa Future Foundation imefanya upandikizaji wa figo kwa wagonjwa wanne ambao figo…

RRH zashauriwa kufanya maboresho kama Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waganga Wafawidhi wa Hospitali za Rufaa za Mikoa na Waganga Wakuu wa Wilaya wameshauriwa kuiga mfano wa maboresho yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa lengo la kuboresha hospitali hizo zaidi ya ilivyo…

Serikali, wadau waimarisha ushirikiano utoaji huduma ya afya ya akili

Na WMJJWM, JamhuriMedia, Arusha Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeimarisha uratibu na ushirikiano katika kutekeleza shughuli za utoaji wa huduma ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia (MHPSS) nchini. Hayo yamesemwa na Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii…

CCBRT kituo pekee kinachotengeneza jicho bandia Tanzania

Na Stella Aron, JamhuriMedia Katika kuhakikisha kuwa wananchi wana afya bora, Serikali imeendelea kushirikiana na wadau mbalimbali kutoa huduma za afya kwa kuzingatia sera na miongozo iliyopo. Sera ambayo imeendelea kutumika katika kuelekeza utoaji wa huduma za afya ilipitishwa mwaka…

Madaktari bingwa wa saratani watakiwa kutoa mapendekezo namna ya kutoa huduma bora

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa Saratani watakiwa kutoa mapendekezo na mikakati ya namna bora ya wagonjwa kuzifikia huduma sambamba na kupunguza rufaa zinazo epukika kwenda nje ya nchi kupata matibabu. Pia wametakiwa wataamu wa Saratani kujikita katika kufanya…