Category: Siasa
Bilionea akubaliwa kujenga uwanja Serengeti
Mamlaka zote za Serikali zimeridhia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mugumu, Serengeti mkoani Mara.
Twende tuwekeze Sudan Kusini – Jenerali Kisamba
*Saruji, ngano, vifaa vya ujenzi, alizeti vinahitajika
*Asema majirani zetu wameshaanza kunufaika mno
Ushauri umetolewa kwa Tanzania na Watanzania kuamka na kuchangamkia fursa za uwekezaji na biashara zilizojitokeza katika taifa jipya la Sudani Kusini.
Katiba Mpya, Tanzania Mpya 11
Kama nilivyoahidi wiki iliyopita, kwamba baada ya kuwa tumemaliza kulizungumzia suala la Muungano kwa urefu na upana, ningeanza kuzungumzia suala la ardhi katika Taifa letu na jinsi Katiba ya sasa inavyolieleza suala hilo na umiliki wake kwa Watanzania.
Je, machozi ya walimu yatamimina fedha mitaani?
Tulizoea kusikia walimu wakilalamika, lakini safari hii wameamua kulia, na machozi yao yameonekana kupitia nia waliyoionyesha. Walimu sasa wametangaza mgogoro uliobeba mimba dhidi ya Serikali; ambako usipotatuliwa unatarajiwa kuzaa mgomo usio na kikomo.
Washington: Utumwa unanik
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Quotes
Washington: Utumwa unanikera
“Ninaloweza kusema ni kwamba hakuna mtu aliye hai mwenye kutamani kwa dhati kuona utumwa unakomeshwa zaidi yangu.”
Haya ni maneno aliyoyasema Rais wa Kwanza wa Marekani, George Washington, wakati wa harakati wa kulipatia taifa hilo uhuru kutoka kwa Waingereza. Marekani ilipata uhuru wake mwaka 1776.
****
Habari mpya
- Vifaru vya Israel vyaingia katika eneo kubwa la makazi la Gaza
- Mgombea urais CUF aahidi kuwachapa viboko wanaokula rushwa, aahidi kuwepo kwa uzalendo
- Dk Samia : Uchaguzi si vita, ni takwa la kidemokrasia
- Dk Migiro asema mafanikio ya Samia,Dk Mwinyi yamengwa na 4R
- Samia atema cheche Zbar
- Mgombea ubunge ACT Kawe awafariji waathirika wa moto soko la Kawe
- Jamii haina budi kuachana na mila na desturi zenye madhara
- Kongomano la uchumi Jumuishi kuelekea Dira 2050 kufanyika Septemba 18 Mbeya
- Uyovu wamkubali Dk Samia, kumpigia kura nyingi Oktoba 29
- Ilani ya Uchaguzi CCM inagusa maisha ya watu, wataichagua
- THBUB yawanoa waandishi wa habari Arusha kuelekea Uchaguzi Mkuu
- Kawaida asema Samia, Mwinyi walitumia vizuri fedha za Covid
- Wanu: Samia, Mwinyi wameleta umoja, amani
- Mgombea Haroun : Rais Samia, Mwinyi wamefanya kazi kubwa ya maendeleo
- Auawa kwa kisu baada ya mabishano ya Simba na Yanga Songwe