Category: Makala
Uamuzi wa Busara (4)
Katika toleo lililopita, sehemu ya tatu tuliishia katika aya isemayo: “Hatupendi wafukuzwe au wafanyiwe ubaguzi wa namna yoyote, lakini Wahindi na Wazungu tuliowakubali ni wale ambao wamekwisha kukubali kukaa Tanganyika daima. Mhindi ambaye bado yuko India au Pakistan si Mtanganyika….
Rais Magufuli usiogope, tembea kifua mbele (2)
DAR ES SALAAM NA ANNA JULIA MWANSASU Ninawashukuru wote walionipigia simu, walionitumia ujumbe mfupi na wengine kuongea nami ana kwa ana kuhusu makala yangu katika toleo lililopita la gazeti hili. Awali ya yote, ninapenda kusema kwamba mimi si mwanasiasa,…
Ndugu Rais tusimfukuze jogoo
Ndugu Rais, nilipoandika kuwa, ziko sikukuu nyingi ambazo unaweza ukaamuru zifanyike sehemu mbalimbali za nchi kama kutia hamasa, lakini si siku ya uhuru wa nchi, Watanzania wengi, hasa wazee kutoka kila kona ya nchi yetu walionyesha kuguswa sana. Wazee walioshuhudia…
Uislamu na utunzaji wa mazingira
Utunzaji wa mazingira ni kadhia inayozungumzwa sana ulimwenguni katika ngazi zote kutokana na umuhimu wake na maisha ya mwanadamu. Je, umepata kujiuliza mazingira ni nini? Kwa mujibu wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira nchini Tanzania ya mwaka 2004, mazingira yanahusisha maumbile…
Mungu anaongea kupitia mazingira (2)
Tuache lawama. Tunakuwa wa kwanza kulaumu kwamba mabadiliko ya tabia ya nchi yamebadilika na wakati huo huo tunakuwa wa kwanza kukata miti ovyo pasipo kupanda miti mingine. Tunajenga viwanda ovyo pasipo kuzingatia usafi wa mazingira. Tuwe na sababu za kulaumu pale ambapo mchango wetu umeonekana lakini haukufaulu kushinda kwa lililokusudiwa. Katika…
HATUPANGI KUSHINDWA, TUNASHINDWA KUPANGA (10)
Krismasi ni somo la mpango mkakati Na Padri Dk. Faustin Kamugisha Usikate kanzu (mbeleko) kabla mtoto hajazaliwa. Ni msemo ambao unatuweka katika utamaduni wa kutopanga kabisa ya kesho. Matumizi ya kipindi cha Krismasi huacha mifuko ya pesa imesinyaa kwa baadhi…