JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Miaka 20 Bila Mwalimu Nyerere

‘Hii ilikuwa aibu kubwa sana’ Tukiwa tungali katika kumbukizi ya “Miaka 20 bila Nyerere”, tumekuwa tukikumbushwa mambo mengi juu ya Mwalimu. Gazeti moja limekuwa linatoa historia ya Mwalimu Nyerere katika nafasi mbalimbali. Gazeti moja limetoa kisa kile walichokiita “Nyerere apata msukosuko”. Ni msukosuko…

Acha rushwa itakupeleka motoni

Uislamu ni mfumo kamili wa maisha yote ya mwanaadamu uliopangika kimwili na kiroho. Mafunzo ya Uislamu yanamfikisha mwanaadamu katika kuyajua yatakayomfaa hapa duniani na kesho akhera. Uislamu umeyaharamisha kwa nguvu kubwa yale yenye kuleta madhara ya kiroho na kimwili kwa…

Siku nilipoitwa ofisini kwa Mwalimu…

Mwalimu anaumwa? Ni swali linalotuumiza. Hatuamini. Walio karibu wanazo taarifa, lakini wanatakiwa wawe watulivu maana kusambaza taarifa za ugonjwa wa Mwalimu kungeweza kuibua taharuki kwa maelfu na kwa mamilioni ya Watanzania waliompenda. Mwalimu ametoka Butiama Septemba 23, 1999. Amewasili Msasani…

Tusimuenzi Nyerere kwa kuchagua

Kwa mara nyingine wiki hii nchi imesisimka na hoja kubwa ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Ni wiki ambayo taifa, Bara la Afrika na dunia wanakumbuka maisha ya kiongozi huyu wa kupigiwa mfano. Kumbukumbu hizi zinajikita…

NINA‌ ‌NDOTO‌ ‌(38)‌

Maisha‌ ‌yanabadilika,‌ ‌watu‌ ‌wanabadilika‌   Siku‌ ‌si‌ ‌nyingi‌ ‌zilizopita‌ ‌nilikutana‌ ‌na‌ ‌rafiki‌ ‌zangu‌ ‌‌niliosoma‌ ‌nao‌ ‌kuanzia‌ ‌darasa‌ ‌la‌ ‌sita‌ hadi kidato cha‌ ‌nne.‌ ‌Ilikuwa‌ ‌siku‌ ‌ya‌ ‌furaha‌ ‌sana‌ ‌kwani‌ ‌kuna‌ ‌watu‌ ‌sikuwahi‌ ‌kuonana‌ ‌nao‌ ‌tangu‌ ‌tukiwa‌ ‌shule. Kila‌ ‌mtu‌ alionyesha‌…

MIAKA 60 NGORONGORO

Kicheko cha maji Kitongoji cha Oldonyoogol   Maji ni miongoni mwa kero kubwa zinazowakabili maelfu ya wananchi wilayani Ngorongoro. Kwa kutambua kuwa wananchi wa eneo hili ni wafugaji, mahitaji ya maji ni ya kiwango cha juu mno. Jiografia ya Ngorongoro…