JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

AINA TATU ZA SWALI Elekevu, jinga na pumbavu 

Mimi naamini mazungumzo yoyote kati ya mtu na mtu (au watu) yana maana na madhumuni yake. Yanapata uimara na thamani ya maana yanapojengewa maswali yenye nguvu ya hoja na kupata majibu yaliyosheheni ukweli na usahihi. Mazungumzo, maswali na majibu hayana budi…

Yah: Kwanini viongozi wengi hawakufanana na Ruge?

Naandika waraka huu nikiwa najua fika kwamba kuna majonzi juu ya majonzi kwa watu wengi, hasa tasnia ya habari hapa nchi. Wengi wamesikia misiba na ambao hawajasikia ni vema wakajua sasa hata kwa kuuliza. Naandika waraka huu nikiwa na maswali…

NINA NDOTO (9)

Andika maono yako Kuwa na ndoto ni ishara kwamba una tumaini. Kuwa na ndoto ni ishara kwamba unafikiri  unaweza kushinda. Kuwa na ndoto kunakufanya uonekane kijana hata kama umri unakwenda. “Kama haujawa na ndoto kuhusu kitu kipya, kitu kikubwa au…

Huduma ya mwendokasi ina mushkeli, irekebishwe

Namshukuru Mwenyezi Mungu kutujalia uhai na wenye afya njema. Kila siku tukiamka ni siku mpya na yenye matumaini kwa misingi kwamba zipo fursa nyingi za kutuwezesha kuyamudu maisha yetu ya kila siku hasa katika Jiji la Dar es Salaam. Wengi wetu…

Ruge Mutahaba umeondoka, umetuachia funzo

Ni wiki moja sasa tangu familia, Clouds Media Group na taifa wampoteze kijana mashuhuri, Ruge Mutahaba. Baada ya wiki moja sasa tangu kifo chake, nashindwa niandike nini? Lakini sikosi cha kuandika, maana maisha ya Ruge yalikuwa kama Msahafu ama Biblia,…

Uhaba nyumba za walimu ni janga

Ni ukweli usiopingika kuwa pamoja na jitihada za serikali katika kuhakikisha inapunguza tatizo la upungufu wa nyumba za walimu, bado kuna changamoto kubwa kwenye sekta hii nyeti (moyo wa taifa) kwa mustakabali wa taifa! Kwa mujibu wa Chama cha Walimu…