Category: Makala
Yah: Mheshimiwa Rais, bado kuna mambo mengi
Salamu zangu ni za kawaida kwa sababu kwanza naamini katika upendo; pili, naamini katika undugu; Watanzania wote ni kitu kimoja na ni ndugu, tunapaswa kupendana sana. Upendo tutakaokuwa nao ndio utakaotufanya tuwe na mshikamano na hatimaye tutavuka hili tuta kubwa…
NINA NDOTO (12)
Ongeza thamani kwa ukifanyacho Mchezaji bora katika timu si yule mwenye umri mkubwa zaidi ya wachezaji wengine au aliyeitumikia timu kwa muda mrefu, bali ni yule mwenye thamani. Ndiye hulipwa zaidi ya wote. Thamani ni gharama au ubora wa kitu…
Hofu ya Chadema sheria mpya ya vyama vya siasa
Katika taarifa kwa umma, Machi 22, 2019, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimefanya uchambuzi wa sheria mpya ya vyama vya siasa iliyotiwa saini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hivi karibuni kama ifuatavyo: Tumeiona Sheria mpya ya…
MAISHA NI MTIHANI (22)
Hatuoni ingawa tunatazama Kuona ni mtihani. Si kila jicho lililofunguka linaona. Na si kila jicho lililofumbwa limelala. Kila mtu anatazama lakini si kila mtu anaona. Kuona ni mtihani. Je, unapotazama unaona? “Hatuoni vitu kama vilivyo, tunaviona kama tulivyo.” (Anais Nin)….
Ndugu Rais, Jaji Mkuu Samatta ametoa tamko
Ndugu Rais, ndivyo alivyo Mwenyezi Mungu; huwatuma watu wake wema walio kati ya watu wake kuwafikishia ujumbe watu wake walio kati yao. Wenye masikio ya kusikia husikia, bali wenye viburi Bwana huwaadhibu kwa mwisho wao wa aibu. Nukuu katika kitabu…
Rais Magufuli wasaidie wanyonge hawa
Jumamosi iliyopita nilikuwa jijini Arusha. Nikiwa nimeegesha gari kwa ajili ya kupokea simu, nikamwona mama aliyeonekana mwenye mawazo mengi. Hakuwa na furaha usoni. Hapa ni jirani na Uwanja wa Ndege wa Kisongo. Sikuhitaji kumuuliza maswali mengi. Nilichofanya baada ya kumtazama,…



