Category: Makala
Mgeni mpe mchele na panza
Mgeni ni mtu aliyetembelea eneo fulani kwa mara ya kwanza. Ni mtu anayepewa dhamana ya kuwa mtu muhimu, na aghalabu hupewa jukumu la kutekeleza shughuli rasmi inayofanyika. Mgeni ni mtu asiye na uelewa wa kutosha au ueledi katika fani fulani….
Yah: Tunabadilika kwa kasi
Nianze na salamu kama mtu muungwana, maana itakuwa si busara kukurupuka na mawazo yangu kichwani bila kuwajulia hali. Najua kuwa si kila mtu yuko sawa kichwani, hasa katika kipindi hiki cha mpito wa mabadiliko ya mambo mengi, hasa yale yahusuyo…
NINA NDOTO (11)
Ukiamua kufanya, fanya kweli Fanya mambo kwa ubora. Chochote unachokifanya hakikisha unakifanya vizuri na kwa ubora wa hali ya juu; kiasi kwamba watu wakikiona wawe tayari kuwaambia wengine kuhusu wewe. Hata mimi nikiona kazi yako unaifanya kwa ubora nitakuwa…
Je, furaha ipo katika vitu?
Furaha ni mtihani. Si kila tabasamu ni ishara ya furaha na si kila chozi ni ishara ya huzuni. Si kila kicheko ni ishara ya furaha na si kila kilio ni ishara ya masikitiko. Kwa msingi huo, furaha ni mtihani. Si…
Ndugu Rais kwanini Nyerere mpaka leo?
Ndugu Rais, kwa pamoja tujifunge unyenyekevu mbele za Mungu kwa sababu Mungu wetu huwapiga wenye kiburi, lakini huwapa wanyenyekevu neema yake. Tunyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari ili atukweze kwa wakati wake kwa maana yeye hujishughulisha sana na…
Uhuru wa bila mipaka unahitaji ukarabati
Kama kuna mambo ambayo tuna hakika yatajirudia, tena na tena, ni matukio ya ugaidi katika sehemu mbalimbali duniani. Katika tukio la juma lililopita raia wa Australia, Brenton Harrison Tarrant, amefunguliwa mashtaka ya mauaji nchini New Zealand akituhumiwa kupanga na kutekeleza…

