JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Utaratibu wa kisheria katika kununua ardhi

Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Tunayo ardhi iliyosajiliwa na ardhi ambayo haikusajiliwa. Ardhi ambayo imesajiliwa ni ardhi iliyopimwa au maarufu ardhi yenye hatimiliki, wakati ardhi ambayo haikusajiliwa ni kinyume cha hiyo. Na ardhi tunamaanisha viwanja, nyumba au mashamba. Pamoja…

Kenya wametutega nasi tumeingia

Sheria ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ambayo ni sheria ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tumeiridhia na imeshaanza kutumika. Maelezo ya wakubwa ni kwamba sheria hii inalenga kupunguza uzito wa shehena inayopakiwa kwenye malori, lengo kuu likiwa…

Narudi nyumbani

Rudi na nyumba ni maneno ya Kiswahili na kila moja lina maana na umuhimu wake katika matumizi. Unapoyatumia maneno haya katika matukio yako ni dhahiri shahiri una nia ya kufanya jambo ambalo kwako na kwa wenzako lina faida. Ni maneno…

Yah: Urasimu ni jambo jema, lakini si urasimu wetu

Kama ilivyo ada, sina budi kuanza na salamu za kiungwana kama Mtanzania mwenye kuheshimu mila na desturi zetu. Sisi Watanzania tulipandiwa mbegu hiyo na hatuna budi kuiheshimu na kuiendeleza, ndiyo maana ni rahisi zaidi kumjua Mtanzania halisi kwa kupitia salamu…

NINA NDOTO (10)

Maono humfanya dhaifu awe imara   Maono hubebwa katika vitu vitatu muhimu. Mosi, uwezo wa kuona mbele. Pili, uwezo wa  kuona kwa undani. Tatu, uwezo wa kuona nyuma. Uwezo wa kuona mbele ni sawa na kuona kwa kutumia darubini. Darubini…

Kupata hedhi isiyokoma inaashiria tatizo

Ni kawaida kwa mwanamke aliyepevuka kupata hedhi ya kila mwezi katika mzunguko wake kutokana na mabadiliko ya homoni, ambapo mfuko wa uzazi unatengeneza ukuta mpya kwa ajili ya mapokezi ya utungishwaji wa mimba. Kwa kipindi hicho mwanamke anapitia siku kadhaa…