Category: Makala
MAISHA NI MTIHANI (18)
Upendo ni mtihani, palipo na husuda, hakuna upendo. Palipo na chuki hakuna upendo. Palipo na umbea hakuna upendo. Maneno kwenye kanga za kina mama yanabainisha upendo ni mtihani. Chokochoko za jirani hazinitoi ndani, mtamaliza visigino kwa safari za umbea. Hunilishi,…
Kufungwa Malkia wa Tembo si mwisho wa ujangili
Malkia wa Tembo amefungwa jela miaka 15. Hii ni habari njema kwa wahifadhi. Sijasikia wanaobeza hukumu hiyo, japo wapo wanaoona ni ndogo ikilinganishwa na tembo 430 waliotoweka kutokana na mwongozo wake. Kwenye kesi hii waliofungwa ni wawili. Huu ni “utani”….
Tusipoteze lugha mama tukakuza lugha ya mapokeo
Umoja wa Mataifa (UN) umepanga Februari 21, kila mwaka ni ‘Siku ya lugha ya mama duniani.’ Siku hii ina lengo na madhumuni ya kukumbusha na kudumisha utamaduni (historia, mila na desturi) wa kuzungumza lugha mama ambayo ndiyo lugha ya asili…
Yah: Na leo nakumbuka mambo ya zamani tu
S alamu zenu waungwana ambao naamini wengi wenu mnaosoma waraka wangu ni wale wenye umri wangu na kweli mnakumbuka pamoja na mimi. Nawapa salamu kwa sababu naamini kuwepo kwetu mpaka leo ni kwa neema tu na matunzo tuliyopata kutoka kwa…
Nina ndoto (7)
Wakati kampuni ya Coca Cola inaanza iliuza chupa 25 tu za soda ndani mwaka mzima! Hii inaonyesha kuwa kila mwezi waliuza takribani chupa mbili za soda. Najua umeshangaa maneno niliyoanza nayo hapo juu, lakini hiyo ni historia ya kweli. Leo…
Vipimo muhimu ambavyo wengi huvisahau (1)
Vipimo ni muhimu sana kwa maendeleo ya afya. Kupitia vipimo tunaweza kutambua mustakabali wa afya zetu, hivyo kujiweka kwenye nafasi nzuri katika kupambana na maradhi mbalimbali. Hivi karibuni takwimu kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) zilionyesha kuwa idadi ya wanaume…




