Category: Makala
Rais nakuomba utafakari upya (1)
Ndugu Rais, niruhusu nianze kwa kumnukuu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu alisema: “Kudumisha uhai wa wanyamapori wetu ni suala linalotuhusu sana sisi sote katika Afrika. Viumbe hawa wa porini pamoja na mapori wanamoishi si tu kwamba ni muhimu…
Yah: Unabii katika uongozi wa nchi yetu
Nianze na salamu kama kawaida na kuwapa pongezi tena ya kuendelea kuwa nasi katika gazeti letu ambalo nina hakika tunawafikia vizuri na tunawafikia pale ambapo wenzetu wengi wamekoma. Lengo letu hasa ni kuwapa taarifa na si kuwapa uzushi, tunaahidi mwaka…
Tuzingatie kanuni za uandishi wa habari
Ukisoma Kamusi Kuu ya Kiswahili moja ya maana ya neno HABARI ni jambo, tukio au hali fulani iliyo muhimu na ya aina ambayo ni ngeni kwa walio wengi. Jamii ya wasomaji wa magazeti, wasikilizaji wa redio na watazamaji wa televisheni inayofaa…
Nina ndoto (2)
Ukiona ndoto yako haiwatishi watu, jua kwamba ni ya kawaida sana. Ndoto ya kwanza ya Yusufu iliwatisha ndugu zake. Ndoto yake ya pili si kwamba iliwatisha ndugu zake tu, bali ilimtisha hadi baba yake, Yakobo. Tunaambiwa siku moja ndugu zake…
Historia ya kusisimua ya binadamu Olduvai
Kufikia miaka milioni 1.5 iliyopita kulikuwa na ongezeko kubwa la tabia ya kuua wanyama wakubwa kama inavyoonekana kwenye maeneo mbalimbali ya malikale. Hali kama hii inaonekana pia katika maeneo mbalimbali ya Bonde la Olduvai. Uuaji wa tembo, twiga, viboko, faru…
Bandari: Usipokee gari bila nyaraka hizi
Baada ya kuelezea njia za kutoa gari bandarini katika makala zilizotangulia kwa nia ya kuepuka usumbufu na kupata uhalali wa gari lako, leo tunakueleza kuhusu nyaraka muhimu unazopaswa kupewa na wakala wako anapokukabidhi gari uliloagiza nje ya nchi na likapitia…