JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Nukuu ya Rais

Sijatamani na sitatamani kuwa rais wa nchi yetu, kwa sababu nafsi yangu haijapata kunisukuma, moyo haujashituka na akili hazijanishawishi kuwania wadhifa huu. Ingawa napenda kufanya kazi, kusoma na kijifunza maarifa mbalimbali na kusikiliza mawazo na falsafa mbalimbali na uadilifu wa…

Utekwaji wa Mo Dewji: Yatakayojiri

Kutekwa na kupatikana kwa mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji (Mo) kutaleta athari kubwa katika mienendo ya maisha ya watu maarufu. Hatuwezi kubashiri iwapo zitakuwa athari nzuri au mbaya. Kwanza, na ambalo litajitokeza mara moja ni kupanda kwa maombi ya umiliki…

Kumpa notisi mtu usiyejua makazi yake

Unatakiwa kumpa mtu notisi lakini haujui anakoishi, hauna pa kumpata, au unajua anakoishi lakini anakukwepa. Wakati mwingine ukienda kwake haufunguliwi mlango au hata ukifunguliwa unaambiwa hayupo. Au yupo umemuona lakini anakataa kabisa kupokea notisi au kuisaini. Unafanya nini katika mazingira kama…

Tanzania itajengwa na wenye moyo!

SIMULIZI YA KATIBU MUHTASI WA MWALIMU NYERERE   Jumamosi, Oktoba 22, 1966, wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na vyuo vingine jijini waliandamana kwenda Ikulu wakiwa na mabango yaliyoandikwa maneno machafu dhidi ya Serikali ya Awamu ya Kwanza…

Mwalimu Kambarage pumzika kwa amani

Oktoba 14, mwaka huu imeangukia siku ya Bwana, yaani Dominika – Jumapili. Imekuwa sasa ni kawaida kwa kila mwaka siku hii Tanzania tuna mapumziko ya kitaifa kumuenzi Baba wa Taifa. Karibu kila gazeti hutoa toleo maalumu la kumbukumbu ya Baba…

Ndugu Rais hakuna makali yasiyo na ncha

Ndugu Rais nimesema mara zote, ‘nchi yangu kwanza’. Hii ndiyo imani yangu ya jana, leo na siku zote. Nitaililia nchi yangu kwa nguvu zangu zote na kuwalilia maskini wa nchi hii bila kuchoka, ndiyo, nitajililia na mimi mwenyewe mpaka  siku…