Category: Makala
Yah: Hizi Tv Online zina maudhui gani?
Kwanza, nikiri wazi kwamba sizungumzii Tv Online zote, la hasha! Zipo ambazo unatamani kuzifuatilia kwa jambo lolote makini na zipo ambazo zinajibainisha kuwa ni za watu makini, lakini huo ujinga ambao unaupata kila unapojiunga nao, kwa kweli ninashauri tuangalie upya…
Kupotea nyaraka inayohitajika mahakamani kama ushahidi
Inaweza kuwa nyaraka muhimu kama hati ya nyumba, mkataba wa mauziano au mkataba mwingine wowote, wosia, kadi ya gari au ya mashine yoyote, hati ya kusimamia mirathi, cheti cha ndoa au vyeti vinginevyo na nyaraka nyingine mbalimbali. Nyaraka hii inaweza…
Ya Wema Sepetu yanaibua maswali
Uamuzi wa Serikali, kupitia Bodi ya Filamu, kumfungia Wema Sepetu kujihusisha na masuala ya filamu kwa muda usiyojulikana kutokana na kuvuja kwa video yake ya ngono ni suala linalozua maswali. Kwanza, nakubaliana na Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania…
Wanaume washirikishwe uzazi wa mpango
Tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma, utoaji wa mimba zisizopangwa na uzazi usiofuata kanuni za uzazi wa mpango umepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matumizi ya njia za uzazi wa mpango. Matumizi hayo ya njia za uzazi wa mpango yameleta…
Jinsi ya kuwa na fikra kubwa (1)
Waza au fikiri kwa kutumia picha kubwa. Ukiwaza kwa kutumia picha kubwa ni sawa na kuitabiri kesho. Kuiona kesho wakati bado unaishi leo. Watu waliofanikiwa wanajiona baada ya miaka mitano au kumi watakuwa wapi. Je, wewe umewahi kujiuliza tarehe kama…
Ndugu Rais ni nani anaiona kesho yao?
Ndugu Rais, katika kurasa za mwanzo za kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu imeandikwa, ‘’Kila kaya iache kibatali chake kikiwaka. Tumelishauri jua lisitokee mpaka nchi itakaporudishwa kwa wananchi. Nenda katangaze neno hili. Usinitaje, kwaheri!’’ Kila tusomapo maandiko haya hutulia na…

