Category: Makala
Dawa za nguvu za kiume bila ushauri wa daktari ni hatari
“Samahani daktari, asubuhi ya siku tatu zilizopita kaka yangu alikutwa amekufa chumbani kwenye nyumba ya wageni alipokwenda kupumzika na mpenzi wake…” “Lakini baada ya kumhoji huyo mpenzi wake, alisema wakati wameingia chumbani alikunywa vidonge kadhaa ambavyo baadaye, wataalamu waligundua vilikuwa…
Dodoma yakabiliwa na upungufu wa nyuma
NA EDITHA MAJURA Dodoma Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kuandikwa, amesema wenye uwezo wa kujenga nyumba za kupangisha, kufanya hivyo mkoani Dodoma ili kusaidiana na Serikali kuwapatia makazi bora watumishi wanaohamia mjini humo. Kuandikwa amesema licha ya…
Mfumo wetu wa elimu haufai
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa takwimu tunazopawa kuzitumia kutafakari hatima yetu kama Taifa. Sasa inakadililiwa kuwa idadi ya Watanzania ni milioni 54.2. Mwaka 2021 idadi hiyo itapaa hadi kufikia watu milioni 59. Hili ni ongezeko kubwa. Lakini imebainishwa…
Miaka 61 Uhuru wa Ghana: Tunajifunza?
Hotuba ya rais wa kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah siku ya uhuru wa nchi yake Machi 6, 1957 ilikuwa na ujumbe mmoja mzito: Uhuru wa Ghana hautakuwa na maana yoyote iwapo nchi nyingine za Afrika zitabaki chini ya utawala wa…
‘Bandari ya Dar itumike kuboresha biashara’
DAR ES SALAAM NA CLEMENT MAGEMBE Wafanyabishara katika soko la Kariakoo wameiomba Serikali kuweka mazingira mazuri yatakayowawezesha kuitumia bandari ya Dar es Salaam kwa ufanisi na kuboresha biashara zao. Wakihojiwa na JAMHURI wiki iliyopita, wafanyabiashara hao wamesema kuwapo kwa mazingira…
‘Wakorea Weusi’ watishia amani Mbeya
Na Thompson Mpanji, Mbeya KUIBUKA kwa kundi kubwa la vijana wanaofanya uhalifu bila woga huku wakijiamini kutenda makosa ya jinai hata kutishia maisha na mali za wakazi wa Jiji la Mbeya wanaojiita “Wakorea Weusi”, limezidi kutia hofu na kuwalazimisha wananchi walio…