Category: Makala
Yah: Tunamuadhimisha Mwalimu Nyerere kwa Tanzania hii?
Majuzi tulikuwa tunakumbuka kifo cha Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, tulikuwa na kumbukizi ya mambo mengi sana juu ya nchi yetu na falsafa yake ya ujamaa na kujitegemea, falsafa ya uhuru ni kazi na haki ya kila raia katika nchi hii,…
Tunaenzi uamuzi wa busara wa Mwl. Nyerere?
“Mwanangu Julius, ualimu na siasa havipatani hata kidogo, fuata oni langu, uache kabisa mambo ya siasa na uzingatie kazi yako ya ualimu.” Kauli hii ilitamkwa na Padri Mkuu wa Shule ya St. Francis’ College, Mwakanga, Pugu (sasa ni Pugu Sekondari,…
NANI KAMA NYERERE?
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Tanzania) Chuo Kikuu cha Ufilipino (Ufilipino) Chuo Kikuu cha Manila (Ufilipino) Chuo Kikuu cha Makerere (Uganda) Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Tanzania) Chuo Kikuu cha Claremont (Marekani) Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Tanzania)…
Korosho bado ni ‘umiza kichwa’! (4)
Sehemu iliyopita, nilianza kuandika rejea ya makala niliyoiandika miaka 17 iliyopita. Nilisema kule India nako lile shirika la “Cashew Corporation of India” lililonunua korosho zetu zote lilishavunjwa. Hivyo wanunuzi binafsi walikuwa wanajinunulia korosho kiholela kwa viwanda vyao vya kubangulia korosho….
Tutetea urithi wa lugha zetu
Miezi kadhaa iliyopita nilimsikia jirani yangu Mkurya akitoa somo la nyota kwa wageni Wafaransa. Alitaja tafsiri, kwa Kikurya, ya nyota, mwezi, jua, na hata ya sayari Zuhura. Lugha mama yangu ni Kiswahili, siyo Kizanaki, kwa hiyo hufurahia sana kusikia Mtanzania,…
Naomba Mhandisi Mjungi akumbukwe
Na Angalieni Mpendu Rais Dk. John Pombe Magufuli nimekusikiliza kwa utulivu, nimekusoma kwa umakini na nimekuelewa kwa undani katika hotuba yako ya uzinduzi wa Daraja la Mfugale (Mfugale Flyover), eneo la TAZARA, katika makutano ya Barabara ya Mandela na Barabara…


