JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Kuzishitaki kampuni za madini kurejesha hasara tuliyopata

Mikataba yote ya kimataifa huongozwa na wajibu wa aina mbili. Wajibu ulioandikwa (express obligation) na wajibu ambao haukuandikwa (implied obligation). Wajibu ulioandikwa ni masharti yote ya mkataba yaliyo katika maandishi ambayo wahusika husoma na kuridhia, wakati wajibu usioandikwa ni masharti…

Buriani Mzee Kitwana Selemani Kondo ‘KK’

Jumatano Mei 24, 2017 ni siku ambayo itakumbukwa na Watanzania wengi na hasa Waislamu, kwa kuondokewa na mzee wetu, Alhaj Kitwana Selemani Kondo, maarufu KK au mzee wa mjini. Siku nne kabla ya kifo chake, mwanaye wa kiume, Adnan Kitwana…

Ndugu Rais nionyeshe hata ukurasa mmoja usio na makosa…

Ndugu Rais Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi Stadi alitupiwa kitabu cha Kingereza kilichochapwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) mezani pake kisha akaulizwa; “Nionyeshe hata ukurasa mmoja tu ambao hauna makosa katika…

Mwalimu Nyerere niliyemjua (5)

Kwa uzito wa busara kubwa iliyotumika katika salamu hizo za rambi rambi na kwa kuogopa kupotosha uzito huo nalazimika kuziwasilisha kwa lugha hiyo hiyo ya kiingereza kama ifuatavyo; “For the men and women who have served the great cause of…

Misamaha ya kodi ilivyoumiza nchi

Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi na Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2015/2016 imefichua jinsi nchi inavyopata hasara kutokana na misamaha ya kodi iliyotolewa na Serikali. Katika ripoti hiyo, CAG amebainisha matumizi yasiyostahiki ya misamaha ya kodi kwa…

Eti Lembeli naye anamsema Magufuli!

Wahenga waliwahi kusema kuwa nyani haoni kundule. Suala la vyeti feki na hatua madhubuti zilizochukuliwa na Rais John Pombe Magufuli ndio ‘habari ya mjini’ sasa hivi. Uthubutu huu unastahili pongezi za dhati kutoka kwa watu makini na wapenda haki wote….