Category: Makala
Katu ushoga haukubaliki Tanzania
Hivi karibuni, chombo kimoja cha habari nchini kimemnukuu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe, akisema kuwa Serikali haihitaji ushauri wala ushawishi wa chombo chochote cha ndani ama nje ya nchi, kuhusu masuala ya ushoga na ndoa za jinsia…
Yah: Acha nizikumbuke enzi zetu, labda kwa hali hii zitashabihiana
Nakumbuka Lango la Chuma Mabibo bia ikiuzwa Sh. 18 yaani hii Sh. 100 ya sasa hivi unakunywa bia tano na chenji inarudi, maisha mazuri kwa mtumishi wa kila mahali, iwe serikalini au kwa mtu binafsi. Mshahara wa kima cha chini…
Magufuli ataijenga Tanzania ya viwanda chini ya mfumo upi?
Kimsingi, bado najadili kujitegemea kwenye makala mbili zilizopita. Nilibadilisha vichwa vya habari kutokana na tukio la Rais Magufuli kuwaalika wanahabari kuelezea mafanikio ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani. Katika kueleza changamoto zinazoukabili utawala wa Rais Magufuli, nilitoa mfano wa Nabii…
Maafa ya Kagera, kilio cha wanyonge kwa Rais
Mheshimiwa Rais, kwanza nakupongeza kwa mchango wako wa hali na mali katika kusaidia wahanga wa tetemeko lililoukumba Mkoa wa Kagera mwezi uliopita kwa nafasi yako kama Rais, na pia kwako binafsi. Kutokana na uhaba wa nafasi ya makala, sitataja kila…
Mgogoro Makao Makuu ya Wilaya ya Ilongero
Kwa kipindi cha wiki tatu kumekuwa na vuguvugu la mgogoro kuhusu Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Ilongero). Mgogoro huu unahusu hasa wapi yajengwe Makao Makuu ya Wilaya ya Ilongero. Uliibuka kuanzia tarehe Oktoba 28, 2016 baada ya…
Ndugu Rais, Arusha kunani?
Ndugu Rais, kumekuwa na mfululizo wa habari zisizoisha kuhusu ujambazi na majambazi katika misitu ya pori la Vikindu. Vikindu kama ilivyo Mkuranga yenyewe ambayo ni wilaya mojawapo katika Mkoa wa Pwani, kwa kweli ni Dar es Salaam. Karibu kabisa na…