JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Fikra za maendeleo ya siku moja ni ndoto za wajinga

Niliwahi kuandika waraka mmoja hapa kwamba mataifa yaliyoendelea yamepitia misukosuko mingi ya kukamilisha maendeleo yao. Kuna makosa waliyopitia na wapo walioweza kupita njia sahihi kufikia malengo. Kuna usemi kwamba hata siafu au mchwa wanaofanya kazi kwa umoja na kushirikiana, kuna…

Trump anayo hoja anapohofu kuibiwa kura

Hofu za kuibiwa kura huwa tunazisikia kwenye nchi ambazo tunaambiwa demokrasia haijakua. Hayo yamebadilika sasa kwa sababu kwenye nchi ambayo tunaambiwa ndiyo mfano bora kuliko yote ya demokrasia, mgombea wa urais ametamka kuhofia kuibiwa kura zake. Wapigakura wa Marekani wanapiga…

Yatakayomkwamisha Rais Magufuli – 5

‘Serikali ikiendeshwa kisiasa, CCM ikiongozwa kiserikali Tanzania itadidimia’   Hii ni sehemu ya mwisho ya mada ihusuyo mambo yanayoweza kumkwamisha Rais Magufuli.  Namshauri Rais na washauri wake wa kisiasa na kiserikali wajipatie vitabu viwili – cha ‘Hii ndiyo Tanzania tunayoitaka’…

Majibu: Serikali za Mitaa ndio Injini ya Maendeleo (2)

Mojawapo ya makubaliano ya mwafaka yaliyoafikiwa baina ya wakulima na wafugaji iliweka utaratibu wa kuzuia migogoro na migongano baina yao kwa wao. Makubaliano hayo yalitekelezwa kwa wahusika kutenga mipaka ya maeneo ya kuendesha shughuli za wakulima na wafugaji. Mwafaka wa…

Miezi 40 ya mapambano na Dk. Edward Hosea (2)

Katika makala ya wiki iliyopita nilihitimisha kwa kueleza kwamba Juni 3, 1998 nilipokea amri kutoka Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKURU) iliyonitaka kuwasilisha taarifa ya mali zangu zote pamoja na maelezo ya jinsi nilivyozipata; na kwamba niliweza kufanya…

Nyerere: Mwasisi wa wazo la Bima ya Afya

Upeo wa fikra na uwezo wa kuona mbali aliokuwa nao Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, ndiyo unaotufanya tuendelee kumkumbuka leo hii kama kiongozi wa watu, tofauti na viongozi wengi wa wakati wake na pengine hata wa sasa tulionao…