JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Uongozi wa Awamu ya Tano na hatima ya nchi yetu

Katika kijitabu chake kidogo “Tujisahihishe” alichokiandika Mei 1962, Baba wa Taifa, Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, aliwaonya viongozi na wananchi juu ya madhara ya ubinafsi kwa nchi changa kama Tanzania iliyodhamiria kuleta…

Yah: Mheshimiwa Rais, usiamini sana katika elimu, uongozi ni kipaji pia

Katika siku za hivi karibuni umekuwa ukifanya uteuzi kuziba nafasi nyingi za majipu ambayo umeyatumbua, kwa ufupi  umeifurahisha jamii ya walalahoi wengi walioteseka katika kipindi kirefu ndani ya nchi yao. Majipu mengi ambayo yalikuwa yakitegemea majipu makubwa yamewanyanyasa sana wananchi…

Wajibu wa Polisi usalama si woga

“Tekelezeni wajibu wenu bila ya woga. ( Makofi ) Katekelezeni wajibu wenu bila ya woga kwa kuzingatia sheria. ………Niwaombeni sana, vyeo vyetu tuviweke pembeni na sheria tusiweke pembeni. …….Mimi Rais wenu nipo pamoja na nyinyi.” Ni tamshi lenye upendo na…

VAT kwenye utalii: Ukweli na hasira

Nafanya kazi kwenye sekta ya utalii kwa muda sasa; kwenye utalii unaotambulika kama utalii wa utamaduni na ingawa kuna masuala mengi bado najifunza kuhusu sekta hii kwa ujumla, naamini nimejifunza vya kutosha kuweza kuchangia mawazo yangu juu ya uamuzi wa…

Ijue sura ya uchumi Tanzania

Leo (wiki iliyopita) gazeti la Mtanzania limeripoti kufungwa kwa Hotel kadhaa za kifahari kutokana na sababu mbalimbali, lakini sababu kuu iliyotajwa ni hatua ya Serikali kuzuia mikutano yake kufanyika hotelini, badala yake ifanyike kwenye kumbi za Serikali na kudaiwa kodi…

Dk. Jane: Mtafiti aliyeipaisha Gombe

Umewahi kuwaza kuhusu binti wa miaka 26, kutoka katika nchi na bara lake na kwenda bara jingine katika kile kinachoitwa kutimiza ndoto zake? Ukikutana na Dk. Jane Goodall na kumuuliza swali hilo, jibu lake ni rahisi sana, ndiyo. Ni siku…