Category: Makala
Asante mbabe, Watanzania tumekusikia
“Kujitawala kwa kweli hakuwezekani ikiwa taifa moja linategemea misaada na mikopo ya taifa jingine kwa maendeleo yake. Hata kama pangetokea taifa au mataifa ambayo yako tayari kutupa fedha zote tunazozihitaji kuendesha mipango yetu ya maendeleo, isingekuwa sawa kwa nchi yetu…
Yah: Mheshimiwa Magufuli majipu mengi mno tushirikishe kuyatumbua
Siku mbili tatu hivi uliposema kuna watumishi wa Serikali wanaishi kama malaika, tulikuelewa kwamba unaelewa kinachotukera waajiri wao ambao ni sisi wananchi. Tulielewa kuwa kero yetu imekufikia na wewe ndiye tuliyekuajiri uwe bosi wao na unatakiwa ujue nini mahitaji yetu. Mpaka…
Ukweli kuhusu Mwiba Holdings (3)
Maelekezo/Maagizo ya Nyalandu Nyalandu aliwaambia Wakurugenzi -Profesa Songorwa na Profesa Kideghesho kuwa yeye anamfahamu mmliki wa FCF; na ni marafiki. Lakini kubwa ni historia ya kampuni zake katika tasnia ya uwindaji wa kitalii na mchango mkubwa katika uhifadhi na…
Wasaliti wa Chama Cha Mapinduzi
Tumesikia kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kipo mbioni kuwashughulikia wanachama wake wanaodaiwa kukisaliti chama chao wakati wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika mwaka jana. Ni uchaguzi ule wa kihistoria ambao tulishuhudia ushindani mkubwa. Haijulikani CCM itatumia njia gani kuwapata wasaliti wake kwa haki….
Fukuto kali Mwalimu Nyerere University (2)
Kuna tatizo kubwa sana katika suala la hili, wahadhiri wengi katika idara ya Elimu na taaluma za jinsia wanafundisha masomo wasiokuwa na ubobevu nayo. Mfano: i. Mhadhiri ana shahada ya uzamili katika uongozi wa elimu, anafundisha historia kwa wanafunzi wa…
Bulyanhulu waomba Prof. Muhongo awasaidie
Waliokuwa wafanyakazi wa mgodi wa Acacia Bulyanhulu, wamemuomba Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo awasaidie. Zaidi ya wafanyakazi 1,375 wa Kampuni ya Acacia Bulyanhulu ya Shinyanga na Acacia North Mara mkoani Mara, wamehoji kiburi cha mwajiri kuwatimua kazi…