Category: Makala
Tupunguze kulalamika
Bunge hili la kitaifa linajulikana kama Bunge la 11 (eti mimi nalihesabu kama Bunge la 12, kadiri ya kumbukumbu zangu, nilivyoonesha kwa miaka). Ni Bunge la wasomi na ni Bunge la mkato (cross-cutting Parliament) kwa kuwa limejumuisha wabunge wa rika…
Penye titi pana titi
Pokea salamu za upendo na heri ya mwaka mpya 2016, wewe msomaji wa gazeti JAMHURI na safu ya FASIHI FASAHA. Pili, naomba radhi kwa kipindi cha mwezi mmoja na nusu uliikosa safu hii kutokana na mimi mwandishi kufanyiwa operesheni ya…
Yah: Ni Tanzania tu mzawa anaponyanyaswa na mgeni
Sasa hivi naitafuta Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania – iwe ile ya zamani au hata hii mpya – ambayo haijapigiwa kura na kupitishwa na Watanzania. Tanzania ni moja kati ya mataifa yaliyokuwa na heshima sana kwa raia wake…

Polisi wanatumiwa vibaya
Kumekuwa na matukio mbalimbali ambayo Polisi wametumiwa vibaya na Serikali, taasisi na watu wengine. Hali hii imetufikisha mahali ambako ile kauli ya siku nyingi kwamba polisi ni usalama wa raia inaonekana haina maana tena. Tumeshuhudia wakati wote polisi wakizuia maandamano…
SSRA yaisemea mifuko ya jamii
Baada ya Gazeti JAMHURI kuchapisha taarifa za kiuchunguzi za mifuko ya hifadhi ya jamii nchini kuwa katika hali mbaya kifedha kutokana na deni kubwa linaloikabili kwa Serikali kushindwa kulipa madeni yake, hali inayoifanya baadhi ya mifuko kushindwa kulipa mafao kwa…