JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Yah: Ummy Mwalimu tumbua jipu kwa DDT

Miaka ya nyuma ipatayo kama thelethini hivi nilikuwa mtu mzima, lakini ambaye ni mfugaji na mchungaji mzuri wa mifugo. Kwa wakati  ule niliona kazi pekee duniani ni ufugaji hasa wa mbuzi na niliona mbuzi kama mali pekee mtu anayopaswa kuwa…

Shirika la Posta kuongeza kasi ya TEHAMA

Matumizi ya teknolojia  ya habari na mawasiliano (TEHAMA), yameshika kasi na kurahisisha upatikanaji wa taarifa mbalimbali kwa urahisi kwa wananchi kuhusiana na masuala ya kijamii, kiuchumi, kielimu, kiafya na kisiasa. Kutokana na ukuaji wa kasi ya matumizi hayo ya TEHAMA,…

Zijue aina 7 za adhabu zinazotolewa na korti

1. ADHABU  YA  KIFO (DEATH PENALTY) Adhabu hii hutolewa kwa wenye makosa makubwa kama kuua kwa kukusudia (murder). Kifungu  cha  26  Kanuni za Adhabu kinasema kuwa mtu atakapohukumiwa adhabu ya kifo basi adhabu hiyo itatekelezwa kwa kunyongwa kwa kitanzi mpaka…

Maalim Seif na uchu wa madaraka

Maalim Seif Shariff Hamad, Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), amedhihirisha wazi kuwa yeye ni kiongozi mwenye tamaa ya madaraka iliyopitiliza, tamaa inayomwezesha kuteketeza hata nchi nzima pamoja na wananchi wake ilimradi yeye abaki kuwa kiongozi mkuu.  Kilichofanya asiweze…

Ufisadi hauwezi kutenganishwa na CCM

Sisi sote tunajua na tunakubali kwamba Rais John Magufuli ni mchapakazi. Alijibainisha kwamba ni mchapakazi tangu alipokuwa waziri. Wizara yoyote aliyoshika Dk. Magufuli haikusinzia wala haikulala. Na hakuwahi kuitwa ‘waziri mzigo’. Lakini pamoja na ukweli wote huo, ni ukweli pia…

Kanisa na Maisha ya Watu

Tatizo la kweli la dunia ya leo si umasikini; maana tunao ujuzi na amali zinazotuwezesha kuufuta umasikini. Tatizo lenyewe hasa ni mgawanyiko wa binadamu katika tabaka mbili – tabaka ya matajiri, na tabaka ya masikini.  Jambo hilo ndilo linaloleta matatizo,…