JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: Makala

Ukomavu wa kisiasa na woga wa mabadiliko

Mara zote Watanzania wamejitambulisha kama wakomavu wa siasa, ukomavu usioeleweka namna ulivyo kama nitakavyoonesha hapa chini. Ikumbukwe kwamba mara baada ya Tanganyika (Tanzania Bara) kujitawala kabla ya kuungana na Visiwa vya Zanzibar, iliamriwa kwamba ni bora nchi ikafuata udikteta wa…

Profesa Muhongo ni uteuzi makini

Baraza la Mawaziri la Rais John Pombe Magufuli limetoa kile ambacho walio wengi walikuwa wanakitarajia kufuatia mambo mengi aliyoanza nayo, ambayo walikuwa hawakuyazoea. Rais Magufuli alianza kwa kumteua waziri mkuu ambaye kusema ukweli hakuna aliyekuwa akimuwazia. Ilikuwapo idadi kubwa ya…

Hotuba ya Rais Dk. John Maguful

Ndugu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini, Ndugu Katibu Mkuu Kiongozi, Ndugu Wenyeviti wa sekta mbalimbali, Wadau wakubwa wa Sekta Binafsi, Mabibi na Mabwana   Nafurahi kwa kusema, kwanza namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha sisi sote kuwapo hapa leo….

Kikwete alitupuuza?

Tulikuwa na Rais ambaye hakuona mbali kuna wakati tuliambiwa kuwa tusiwazungumzie marais wastaafu hata kama hawakufanya vizuri wakati wa utawala wao. Tuwaache wapumzike. Kwa Tanzania si kweli kwamba kuna Rais mstaafu ambaye anapumzika baada ya kumaliza muda wake. Wote wanajihusisha…

Agizo la Magufuli: MSD yaonesha njia

Kwa jinsi ilivyotekeleza maagizo ya Rais John Pombe Magufuli, Bohari ya Dawa nchini (MSD) imedhihirisha kuwa watumishi wa umma wakiongozwa vyema, Tanzania inaweza kupata maendeleo ya kasi. Taarifa zilizoifikia JAMHURI zinaonesha kuwa baada ya Rais Magufuli kuagiza zilizokuwa fedha za…

Kuuza ardhi ni kuuza uhuru

Kuuza au kukodisha ardhi ni sawa na kuuza au kukodisha uhuru. Katiba za mataifa ya Afrika zinatakiwa zipige marufuku hizi sera za ufisadi wa kisaliti za uuzaji na uwekaji rehani wa ardhi; kwani ardhi ni mali ya wananchi (si ya…