Category: Makala
Rais Magufuli, matumizi ya mkaa ni janga la kitaifa (2)
Mkaa unatumika sana mijini kwa shughuli za kibiashara mfano, mama lishe, mighahawa na hoteli mbalimbali. Kusema kweli mkaa ni janga kubwa kwa misitu ya asili na ni mamilioni mengi ya miti inayokatwa kutengeneza mkaa. Inakadiriwa kuwa karibu hekta 300,000 hadi…
Hata nyegere wanaishi kwa mpangilio
Yapo mengi ambayo ningependa niwashirikishe wasomaji wa Safu hii. Wiki kadhaa zilizopita, makala yangu moja iliibua mjadala. Ilihusu Katiba mpya. Msimamo wangu si kupinga Katiba mpya, lakini bado naamini Katiba mpya pekee si suluhisho la matatizo yote yanayoikabili nchi yetu….
Idara ya Usalama ipongezwe
Kama Watanzania wataulizwa leo nini walichokuwa wakikitarajia kwa nchi yao ya uhuru na kazi, basi jibu ni moja tu kwamba tulikuwa tunataka mabadiliko ya kuachana na mabepari wachache waliohodhi mali zetu ambazo tulizipata kutokana na jasho la siasa ya Ujamaa…
Sheria inasemaje unapoua wakati ukijaribu kujilinda?
Wakati mwingine kujilinda waweza kukuita kujitetea, kujiokoa au kujikinga. Ni hali ambayo mtu hufanya jitihada za kujinasua katika tendo ovu linalotekelezwa na mtu mwingine dhidi yake. Mfano wake ni kama kuvamiwa na majambazi, kutekwa, kufanyiwa fujo ya aina yoyote,…
Mabadiliko ya mwaka yaende sambamba na siasa za nchi
Huu ni Mwaka Mpya. Nawatakia Watanzania wote heri ya Mwaka Mpya wa 2016. Kawaida Wahaya wana jadi ya kuupa jina kila mwaka unaokuja. Mwaka huu wameupa jina la ‘yangua’ lenye maana ya harakisha. Jina hilo limetungwa na Filbert Kakwezi, kijana…
Profesa Shivji auonavyo uongozi wa Rais Magufuli
Profesa Issa Shivji, hivi karibuni alihojiwa na Kituo cha Televisheni cha Azam, kuhusu siku 50 za uongozi wa Rais John Magufuli. Ufuatao ni mtazamo na ushauri wake kwa Serikali ya Awamu ya Tano Ni kweli kwamba ni siku 50…