Category: Makala
Rais Magufuli, matumizi ya mkaa ni janga la kitaifa
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema na rehema zake nyingi anazotujalia kila kukicha. Nimshukuru pia Mungu wetu aliye hai kwa kutujalia kumpata Rais wa Jamhuri ya Tanzania anayeonekana kuwa msitari wa mbele kwa kuyajali maslahi ya Watanzania wa mijini…
Mungu huyu wa M-Pesa, tiGO Pesa ananipa shaka
Wizara ya Afya imepiga marufuku matangazo ya waganga wa kienyeji na wale walioboresha neno hilo na kujiita ‘tiba mbadala’. Uamuzi wa Serikali umekuwa kama mtego wa panya – unawakamata waliomo na wasiokuwamo. Si wote wenye kutoa aina hiyo ya tiba…
Yah: Mbio za maendeleo na semi za watawala, watawaliwa
Tuko ukingoni kabisa mwa mwaka huu na mwanzoni mwa mwaka ujao, mwaka ambao utakuwa na matukio mengi ya kisiasa na maendeleo, nimejitolea kuwa mnajimu kwa sasa hasa kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini na nje ya nchi yetu hususani…
Kulewa, uchizi ni kinga baada ya kutenda jinai?
Wote tunajua kuwa kila atendaye kosa sharti aadhibiwe. Na kuadhibiwa huko lazima kuwe kwa mujibu wa sheria. Pamoja na kuwa mtenda kosa hustahili adhabu bado watenda kosa hutofautiana hadhi. Hadhi hapa siyo kuwa fulani ni mkuu wa mkoa au mkurugenzi…
‘Dk. Magufuli fanya haya tanzanite isiende Kenya’
Haya ni maajabu ya dunia! Licha ya nchi ya Kenya kutokuwa na chembe ya shimo la tanzanite, ndiyo inayojulikana kuwa msafirishaji mkuu wa madini hayo duniani ikifuatiwa na India na Afrika Kusini. Haya yametokea si kwa bahati mbaya, isipokuwa ni…
Kuuza ardhi ni kuuza uhuru (2)
Wiki iliyopita, mchambuzi na mwandishi wa masuala ya uhusiano wa kimataifa na kikanda anazungumzia Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC), akisema Umoja huu wa sasa ni ulaghai mtupu. Alichambua akisema kama baada ya miaka 50 ya Uhuru, Wakenya siyo wamoja; Wauganda…