Category: Makala
JK ukumbukwe kwa lipi?
Kila kiongozi katika nchi yoyote ile duniani – iwe inafuata utawala wa kidemokrasia au wa mabavu – anapoondoka madarakani anakuwa na historia ya kukumbukwa kwa vyovyote vile kwa mabaya au mema aliyowatendea watu wake. Hapa si kwa viongozi wakuu wa…
Ni mabadiliko kweli?
Watanzania hivi sasa tumo katika mtihani mgumu wa kujibu swali moja lenye vipengele vingi kuhusu mustakabali wa kuboresha maisha yetu na kudumisha Muungano wetu kwa upendo na amani. Swali liliopo mbele yetu ni, Je, tunahitaji mabadiliko au kuking’oa tu Chama…
Tujiandae kujenga jela mpya
Nimewahi kuandika kwenye safu hii kuhusu hitilafu ambazo nimeziona kwenye Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015. Zipo taarifa kuwa sheria hii sasa itaanza kutumika Septemba mosi, mwaka huu. Kama unayo hofu niliyonayo mimi utakubaliana nami kuwa wapo watu wengi wataathirika…
Ikitokea umekufa leo, biashara zako unaziachaje? (2)
Watanzania wengi tunaendesha biashara kienyeji. Hatuna mifumo ya kibiashara, hatuna malengo ya biashara na wala hatuna mwelekeo wa kibiashara. Wengi wetu tunategemea kudra za mwenyezi Mungu kutufikisha mwakani, hatuna uhakika na tunakoenda wala hatujui tutafika lini. Tuna macho ya kuitazama…
Kwa upuuzi huu, si Lowassa wala Magufuli anayeweza kutukomboa
Katika toleo lililopita (Na. 202), niliandaa moja ya nukuu katika ukurasa wa 19 wa gazeti hili. Ilikuwa ni nukuu ya Rais wa 42 wa Marekani, Bill Clinton aliyoitoa katika Mkutano wa Taifa wa Chama cha Democrat Julai 26, 2004. Siku…
Rubondo: Moyo wa Ziwa Victoria
Julai Mosi, mwaka 2015 ilikuwa siku ya historia ya pekee kwangu. Nilipata fursa ya kutembelea Hifadhi ya Rubondo. Safari hii ilikuwa ya aina yake. Juni 28, nilipanda ndege ya Auric Air kutoka Bukoba kwenda Mwanza, ghafla rubani akatangaza kuwa angepitia…