Category: Makala
Kama mwajiri amekuonea, chukua hatua haraka sana
Wapo wafanyakazi wengi wanaosumbuliwa na migogoro ya kikazi maofisini kwao, lakini hawajui cha kufanya. Wengine hufanyiwa mambo ya ajabu makazini yumkini wakashindwa kuchukua hatua yoyote kutokana na kutojua pa kuanzia. Na hizo ni ajira rasmi tusiongelee hizo zisizo rasmi. Tusiongelee…
NATO chanzo cha mamilioni ya wakimbizi kutoka Syria
Septemba 2, mwaka huu maiti ya Aylan Kurdi, mtoto wa Kisiria wa miaka mitatu, iliokotwa katika ufukwe wa bahari ya Mediterania. Alizama pamoja na ndugu yake Galip wa miaka mitano na mama yao wakati wakijaribu kuvuka kutoka Uturuki kuelekea Ugiriki….
Mambo yanayoiumiza CCM mwaka huu
Mengi yameandikwa na kusemwa kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 nchini Tanzania, lakini kuna dalili za wazi kuwa huenda Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikatoka madarakani baada ya kuendesha Serikali kwa zaidi ya miongo mitano, yaani nusu karne. Ilidhaniwa kuwa uzoefu…
Septemba 11: Tukio lisilosahaulika Marekani (2)
Washington Dulles – American 77 Umbali mrefu wa Kusini Magharibi mwa Boston, viunga vya Virginia, Washington DC zaidi ya wanaume watano walikuwa wakijiandaa kupanda ndege saa 1:15 asubuhi. Miongoni mwao walikuwako Khalid Al Mihdhar na Majed Moqed. Walikaguliwa, ikakaguliwa…
Mkicheka na wamachinga watatundika mitumba Ikulu
Kampeni za Uchaguzi Mkuu zinaendelea. Mengi yanazungumzwa na wagombea na wafuasi wao. Ahadi nyingi za wagombea urais zinalenga kuwashawishi wapigakura wawachague. Zipo ahadi zinazofanana. Elimu, maji, vita dhidi ya mafisadi na wala rushwa, mikopo kwa wajasiriamali, ajira na ukomeshaji aina…
Wapumbavu na malofa sasa wanataka filamu ya Escrow
Sakata la kampuni ya kufua umeme wa dharura ya Richmond iliyopewa zabuni na serikali kwa njia za ubabaishaji limeendelea kushika kasi huku likiibuliwa kwa sura tofauti likitumiwa na CCM kuomba kura kwa wananchi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu….