Category: Makala
Yah : Naomba uchaguzi ufanyike kesho basi, maisha yanazidi kuwa magumu
Kila siku ni nafuu ya jana, watu wana sura za furaha lakini hawajui kesho yao itakuwaje, mimi ni mmoja wao kati ya hao ambao kesho yao ni hadithi sijui itakuwaje, leo ni nafuu ya kesho lakini ngumu kuliko jana na…
Wapigakura tujifunze kwa mashabiki wa soka
Tanzania hatujawahi kushuhudia kumangamanga ndani ya medani ya siasa kama wakati huu. Nasita kutamka kuwa wote wanaomangamanga ni wanafiki wa kisiasa, lakini ukweli ni huo kwa baadhi yao. Kigeugeu nje ya siasa hawezi kuathiri majaliwa ya watu wengi, lakini anaposhika…
Biashara za ‘Kidijitali’
Mwezi uliopita nilizindua kitabu changu kipya kiitwacho ‘MAFANIKIO NI HAKI YAKO’ ambacho kinauzwa kwa njia ya mtandao. Jambo kubwa nililolifanya kutokana na kitabu hiki ni kuandaa mfumo unaoendelea kumsaidia mtu anayenunua kitabu hiki kuyaweka katika vitendo yale atakayoyasoma na kujifunza…
Uzoefu nilioupata Mlima Meru
Tupumzike siasa kwa leo. Nazungumzia utalii. Kwa mara ya kwanza hivi karibuni nilipata fursa ya kusindikiza mgeni kutoka Scotland aliyetembelea Tanzania na kuamua kukwea Mlima Meru mkoani Arusha. Kilele cha Mlima Meru kina urefu wa mita 4,566 juu ya usawa…
Wanaomnyooshea kidole Lowassa wamechelewa
Mwaka mmoja nyuma kabla ya vuguvugu hili la Uchaguzi Mkuu kupamba moto, niliandika makala iliyokuwa na kichwa cha habari ‘Ninachompendea Lowassa ni hiki’. Kusema ukweli makala hiyo ilinipa nafasi kubwa ya kuzielewa vizuri siasa za nchi yetu na hasa Afrika…
Septemba 11: Tukio lisilosahaulika Marekani
Dunia imetimiza miaka 14 tangu kutokea mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na Al-Qaeda. Mashambulizi hayo yalitokea saa 2:00 asubuhi Jumanne, Septemba 11, 2001 ambako watu 19 waliokuwa ndani ya ndege nne za kuvuka mabara (Trans – Continental Flights) kuziteka na kuzigeuza…